mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,044
Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri yake!!
On Tuesday, Russian President Vladimir Putin revealed that the Wagner Group was totally dependent on state financing, while Prigozhin himself had earned billions of rubles through catering contracts with the military.
Umepewa tenda ya kulisha jeshi lote na bado kampuni yako ya jeshi binafsi (Wagner) inagharimiwa kila kitu na unalipwa mabilioni pia, unataka nini zaidi ya hicho! Sasa amekabidhiwa mahame ya kambi moja ya kijeshi huko Balarus!! aweke mahema huko huku akiambiwa afikirie mwenyewe hatima yake na mipango yake ya baadaye!! Tamaa mbele mauti nyuma!!