wahanga wa mafuriko bado wanaishi kwa tabu kambini

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895

Makamu wa Rais Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wananchi waliohifadhiwa katika Klabu ya timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaa.

Baadhi ya wananchi walio katika Kambi hiyo, wakifua nguo zao kambini hapo.

moja kati ya watoto waishio katika Kambi hiyo ya Klabu ya Yanga, akiwa ameuchapa usingizi.mia
 
Jamani haka katoto.... Speechless...sijui hata kama kuna wa kumtazama.....ee Mungu!!!
 
Back
Top Bottom