wageni wooote msome hapa!?!!

hamjamboo?
Amina naiman mmeitika ila mim nawakaribisha wagen wote ila mkitoka hapa jaman kuna kijukwaa chetu kile cha chitchat tafadhalin mpite pale mkutane na wanamember wa pale natumai mtaenjoy nyie na roho zenu mim naitwa beibe nasty najua mshaanza jiuliza nasty eeeh ila ndo jina langu hapa ni shemeji wa eric b52 n dada wa mentor na ni mke wa judgement na ni shostito mkubwa wa charming na ni nightmare kwa junior cux. Karibun sana

inaonekana imeka kiumbea sana
 
Hata kama ni wa longi... Umepost hapa kwa wageni... So karibu sana... Hapa ndio jukwaa lao so wanaku welcome beibe nasty teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom