wageni wengine bwana

High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,915
2,086
wageni wengine noma mwenyeji:utakunywa nini? soda au chai mgeni nitakunywa soda wakati nikisubili chai ichemuke!mwenyeji:hapa kuna sprite na coca nikupe ipi?mgeni:nipe coca ,sprite niwekee kwenye friji iendelee kupoa. mwenyeji:nikupe mkate au maandazi?mgeni:nipe maandazi kwanza mkate nitakula na chai ikichemuka.jioni ilipofika mwenyeji:nikuandalie chipsi mayai au kuku?mgeni:niandalie chipsi kuku kwanza,mayai naomba uchemshe10 ili nishushie na ile sprite
 
[FONT=arial
black]wageni wengine noma mwenyeji:utakunywa
nini? soda au chai mgeni nitakunywa soda wakati nikisubili chai
ichemuke!mwenyeji:hapa kuna sprite na coca nikupe ipi?mgeni:nipe coca
,sprite niwekee kwenye friji iendelee kupoa. mwenyeji:nikupe mkate au
maandazi?mgeni:nipe maandazi kwanza mkate nitakula na chai
ikichemuka.jioni ilipofika mwenyeji:nikuandalie chipsi mayai au
kuku?mgeni:niandalie chipsi kuku kwanza,mayai naomba uchemshe10 ili
nishushie na ile sprite
[/FONT]

Mkuu nimecheka sana...
 
.....wewe una kisa na mbavu zangu maana nimecheka kama mtoto mdogo.......lo!!! Thanks.....
 
Huyo mgeni kama dustbin kila kitu anatupia tumboni. Akikaa siku tatu mwenyeji wake atakuwa ameishiwa.
 
angefurai ningempa chai bila sukari koka ningemchanganyia kiroba mwisho wa siku unamlabua chezea kipato wewe!:rockon:
 
hahaha 'nitakunywa soda kwanza nikisubiri chai ichemke' umetisha sana mkuu...
 
Back
Top Bottom