Wafanyakazi wa Tanzania badilikeni. Hakuna wa kuwasaidia zaidi ya kadi yako ya KURA

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,729
29,969
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.

Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya kutosha.

Kikokotoo kimewekwa dhidi ya wavuja jasho wa nchi hii huku wala jasho la wafanyakazi hawahusiki na kikokotoo.

Kadi zenu za Kura ziwakomboe kutoka hili janga la kujitakia lililoasisiwa na CCM.

Uchaguzi mwakani, watawaongezea mshahara kiduchu ili kuwahadaa. Hakuna jipya bali ni hadaa tu.
 
kwamba kadi zao za kura ziwachague vibaraka au?

watumishi wote nchini ni wazalendo wa kiwango cha juu sana, waaminifu mno na kwakweli watiifu sana kwa mamlaka zote nchini, wanapotekeleza kazi na majukumu yao ya kuwatumikia wanainchi....

Tanzania hayupo mtumishi mwenye tamaa ya pesa au mali ili afanye kazi ya wanainchi, huyo hayupo....

maoni na mtazamo wa kimamluki kama huu kamwe hauwezi kuwayumbisha wala kuwatikisa hata kidogo, ati ili watumbukie kwa vibaraka walotumwa na mabwenyenye ya ng"ambo kuvuruga amani, umoja na mshikamano wa waTZ. HILO HALIWEZEKANI :whatBlink:
 
Naona hoja imeibua hasira kali sana.

Kura ndicho kitu pekee kinachotupatia faida ama hasara kwa nchi
 
lazima kuwe na msisitizo katika mambo ya msingi katika nchi....

watumishi wasifanywe ni watu wanaoweza kurubuniwa kirahisi na watu wasio wazalendo kwama fedha na mali...

ipo wazi, na wanafahamu vizuri hili,
kwamba ili apate malipo mazuri lazima afanye kazi kwa bidii. sio from no whwere aje mtu kirahisi tu kwamba awaahidi watu kwamba atawapatia malipo haya na haya bila kufanya kazi kwa bidii...

haipo hivyo na haiwezekani kabisa.... :whatBlink:
 
...watumishi wasifanywe ni watu wanaoweza kurubuniwa kirahisi na watu wasio wazalendo kwama fedha na mali...
CCM inachokifanya ni nini basi kama siyo hadaa kwa wafanyakazi?

Unaposema wafanyakazi wasiwe na tamaa ya mali na fedha, je unajua kuwa mishahara ya viongozi ni mikubwa na wana marupurupu makubwa......

Mkuu, dawa ya hizi hadaa ni KURA yako
 
lazima kuwe na msisitizo katika mambo ya msingi katika nchi....

watumishi wasifanywe ni watu wanaoweza kurubuniwa kirahisi na watu wasio wazalendo kwama fedha na mali...

ipo wazi, na wanafahamu vizuri hili,
kwamba ili apate malipo mazuri lazima afanye kazi kwa bidii. sio from no whwere aje mtu kirahisi tu kwamba awaahidi watu kwamba atawapatia malipo haya na haya bila kufanya kazi kwa bidii...

haipo hivyo na haiwezekani kabisa.... :whatBlink:
Bila CCM kuondoka madalakani Ni ndoto kuyapata maendereo tutabaki Kutia vilaka barabara mpaka yesu anakuja shituka ndugu CCM ishafeli
 
Kila mtumishi wa Serikali akipata fursa ya kusema machache hata yale yanayohusu taaluma yake, ni mwendo wa kushukuru Mungu na kusifia Samia Suluhu Hassan kwa kutoa pesa ya kutosha......kimsingi kuupiga mwingi!!! 🤓

Leo mgeni wetu wa heshima hakutokea kwenye sherehe inayowahusu watumishi kama ilivyo desturi. Nini kimejiri wajameni? 🤔
 
Tanzania hayupo mtumishi mwenye tamaa ya pesa au mali ili afanye kazi ya wanainchi, huyo hayupo....
Acha kupotoka mkuu. Wale aliobainisha CAG sio watumishi wa umma. Watu wanaiba kilasiku hakuna wa kuwashuhulikia.
Serikali inalalamika inaaema imepeleka taarifa bungeni, bungeni nako wabunge wanawalalamikia mawaziri kwanini hawaxhukui hatua.

Mwenye akili timamu atagundua kama unachezwa mchezo wa hangaisha bwege
 
Idadi ya watumishi wa serikali haizidi milioni 2 na wapiga kura wako zaidi ya milioni 25. Hivyo hasira yao haitawasaidia.

Pia ccm haitegemei kura kushinda uchaguzi, inategemea dola na tume tu
 
Acha kupotoka mkuu. Wale aliobainisha CAG sio watumishi wa umma. Watu wanaiba kilasiku hakuna wa kuwashuhulikia.
Serikali inalalamika inaaema imepeleka taarifa bungeni, bungeni nako wabunge wanawalalamikia mawaziri kwanini hawaxhukui hatua.

Mwenye akili timamu atagundua kama unachezwa mchezo wa hangaisha bwege
wachache wenye tamaa ya mali na fedha ambao kwa idad hiyo ndio amabao wanaweza kurubuniwa na mamluki na vibaraka na miongoni mwao wanasota magerezani kwababu ya tamaa zao...... :whatBlink:
 
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.

Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya kutosha.

Kikokotoo kimewekwa dhidi ya wavuja jasho wa nchi hii huku wala jasho la wafanyakazi hawahusiki na kikokotoo.

Kadi zenu za Kura ziwakomboe kutoka hili janga la kujitakia lililoasisiwa na CCM.

Uchaguzi mwakani, watawaongezea mshahara kiduchu ili kuwahadaa. Hakuna jipya bali ni hadaa tu.
Tatizo ni kwamba kuna familia zimejimilikisha serikali, zimejimilikisha jeshi la polisi, zimejimilikisha bunge
 
CCM inachokifanya ni nini basi kama siyo hadaa kwa wafanyakazi?

Unaposema wafanyakazi wasiwe na tamaa ya mali na fedha, je unajua kuwa mishahara ya viongozi ni mikubwa na wana marupurupu makubwa......

Mkuu, dawa ya hizi hadaa ni KURA yako
kama mgombeaji ni wewe basi huwezi chagulika hata kudogo..... :whatBlink:
 
Sawa sawa
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.

Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya kutosha.

Kikokotoo kimewekwa dhidi ya wavuja jasho wa nchi hii huku wala jasho la wafanyakazi hawahusiki na kikokotoo.

Kadi zenu za Kura ziwakomboe kutoka hili janga la kujitakia lililoasisiwa na CCM.

Uchaguzi mwakani, watawaongezea mshahara kiduchu ili kuwahadaa. Hakuna jipya bali ni hadaa tu.
 
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.

Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya kutosha.

Kikokotoo kimewekwa dhidi ya wavuja jasho wa nchi hii huku wala jasho la wafanyakazi hawahusiki na kikokotoo.

Kadi zenu za Kura ziwakomboe kutoka hili janga la kujitakia lililoasisiwa na CCM.

Uchaguzi mwakani, watawaongezea mshahara kiduchu ili kuwahadaa. Hakuna jipya bali ni hadaa tu.
Asie sikia la mkuu.....
 
Asiyeelewa acharazwe viboko "salasini"!
 
Back
Top Bottom