Wafanyakazi wa Bunge la JMT chukueni maua yenu

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea.

Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini.

Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge letu. Inawezekana wawakilishi wetu wakawa siyo competent lakini wale wafanyakazi loh ni kaliba nyingine.

Hawana ukiritimba, hata kama ukikosea utaratibu wanakuelewesha in friendly and respective manner. Usalama wako na mali yako upo guaranteed 100%.

Ukiambiwa njoo kesho, hakika kesho jambo lako linakuwa tayari. Trust me, Bungeni hakuna ukiritimba tuliozoea kuuona maeneo mengine

uongozi na wafanyakazi wote wa Bunge chukueni 🌺🌺maua🌺🌺 yenu 🌷walah🌷
 
Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea.

Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini.

Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge letu. Inawezekana wawakilishi wetu wakawa siyo competent lakini wale wafanyakazi loh ni kaliba nyingine.

Hawana ukiritimba, hata kama ukikosea utaratibu wanakuelewesha in friendly and respective manner. Usalama wako na mali yako upo guaranteed 100%.

Ukiambiwa njoo kesho, hakika kesho jambo lako linakuwa tayari.

Karibu sana siku nyingine.
 
Wafanyakazi wa sehemu yoyote iwe serikalini, kwa watu binafsi, vyoo vya manispaa na popote WANAOLIPWA vizuri na wenye marupurupu yooote LAZIMA wafanye kazi kama hao unaowasifia......
mwingine aendeleze hapa chini........
 
Ulienda kuomba kutembelea Bungeni? Wewe ni mgeni wa Musukuma?
 
Wafanyakazi wa sehemu yoyote iwe serikalini, kwa watu binafsi, vyoo vya manispaa na popote WANAOLIPWA vizuri na wenye marupurupu yooote LAZIMA wafanye kazi kama hao unaowasifia......
mwingine aendeleze hapa chini........
Ikulu kuna marupurupu ya kutosha kuliko kote.

Jatibu kwenda huko basi utuletee habari hapa
 
Hata huku ofisi ya mtendaji mkiwa mnatulipa vizuri roho zetu zitakuwa nyeupe.
Hakika.Na ninyi ndiyo chimbuko la kuona,kuibua na kutoa njia za awali kuhusu changamoto za jamii husika.Shida inakuja ni ninyi kuonekana hamtakiwi kuishi kama binadamu wenye mahitaji sawa na wapendao kuitwa "maofisa" hasa wa hizi halmashauri za nchi hii.Poleni in advances!
 
Back
Top Bottom