jimmykb197
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 465
- 430
Umeshaambiwa hawa viumbe ni supernatural, hawakuwa watu wa kawaida, ukijiongeza kidogo tu utagundua walikuwa na uwezo wa ziada usiokuwa wa kibinadamu katika hali ya kawaida.Hivi siku ya kujifungua huyo mama ambaye ni binadamu anakuwaje?Na je malika wana jinsia gani?Maana hao malaika walioasi waliwaingilia binadamu ambao maumbo yao ni madogo.Nyume zao zilipenyaje katika sehemu za wanawake binadamu?Mtoto aliyezaliwa alikuwa na ukubwa gani na alizaliwa kawaida au kwa upasuaji?