soma mwanzisha mada kaandika nini.We unafikiria hichi kitu kinamaanisha nini..?
Mambo ya rohoni wanayoyajua lazima wawe na UMUNGU ndani yao sio kwa akili za kimwili Kama zako kaka.ukisoma biblia bila kuongozwa na roho mtakatifu ni Kama unasoma hadithi za shigongo.Na Chakula cha kuwalisha wanyama waliokuwa kwenye safina katika kipindi chote cha gharika kilitoka wapi? Au nani aliyekuwa anawahudumia ikiwemo kusafisha kinyesi chao?
ukumbuke kuwa mungu aliangamiza dunia kupitia maji na samaki anaishi majini kwhyo samaki hakuwa na budi kutolewa majini kwakuwa dunia iliangamizwa kupitia majiHivi Kwanini Wanyama wote Waliangamizwa kasoro samaki wa majini?
au samaki ndio watakatifu sana kuliko Twiga?
Aseeee.... Kwa hiyo Nuhu alianzisha mabwawa ya SAMAKI kwenye meli... Kufuga papa. Nyangumi eti mkuu!!!!ukumbuke kuwa mungu aliangamiza dunia kupitia maji na samaki anaishi majini kwhyo samaki hakuwa na budi kutolewa majini kwakuwa dunia iliangamizwa kupitia maji
hebu kasome bible mwanzo na quruan hadithi za mtume kuhusu uumbaji theni uje uniulize maswali nami ntakujibu ipasavyo kulingana na uelewa wanguNa Chakula cha kuwalisha wanyama waliokuwa kwenye safina katika kipindi chote cha gharika kilitoka wapi? Au nani aliyekuwa anawahudumia ikiwemo kusafisha kinyesi chao?
kulingana na bible Urefu Goliathi ni kama mita 3,mguu wake ulikuwa mkubwa sana ingemlazimu kuvaa viatu viwili,viatu viwili kila mguu,wakati wa kwenda kulala vitanda viwe vikubwa viwili au vitatu vimefuatana (1SAM 17:4)Japo hizo picha sio za Wanefili, umehisi tu akilini mwako huenda walikuwa hvyo
kasome bibliaHivi Kwanini Wanyama wote Waliangamizwa kasoro samaki wa majini?
au samaki ndio watakatifu sana kuliko Twiga?
Hapo tu, tunaletewa story za akina abunuwasi bila woga wala huruma, sijui kina Lebron James, Shaquille O'Neal, Gheorghe Mureșan,Shawn Bradley, Manute Bol, Yao Ming,Chuck Nevitt, Pavel Podkolzin, Slavko Vraneš, Mark Eaton,Rik Smits, Ralph Lee Sampson,Priest Lauderdale, sasa hawa sijuwi nao tuwaite wanafeli?! Elimu kitu muhimu sana aise..Kasome topic ya evolution of human ni katopic kanasomwa na wanafunzi Wa form 3 biology
Ndo maana nikaweka uthibitisho wa picha kuwa kweli yalikuwepo.Haya mambo wanachulia kama story tu wakati SAYANSI,BIBLE NA QURUAN yameeleza vyote hivi
katika QURUAN HADITHI ZA MTUME Adamu alikuwa mrefu kama mnazi,nywele nyingi kichwaniUkimchukua Hashim Thabit ukamuweka na Kichuya... Utasema Hashim Thabit ni Mnefili eti mkuu!!!!
Umesema haikuwa na budi samaki kutolewa majini.... Yaani ililazimika watolewe majini.... Nimekubali...Swali ni Waliwekwa wapi na samaki na maji ni kama tako na kiuno....!!!wewe umenielewa kweli?