Wadau wa Chit-Chat mambo ya futari haya karibuni mjengoni

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,978
32,387
Wanaukumbi,

Tupo kwenye mfungo wadau wa Chit-Chat karibuni sana tujumuyike pamoja mambo ya Chess games haya...

1000848_540112882716439_519149984_n.jpg


0621.jpg


0521.jpg


0372.jpg


0492.jpg


CC.. Nyani Ngabu, Paw, Kipaji Halisi Heaven on earth, Mzee, Kaizer, watu8, Arabela, El Toro, Madame B, sosoliso, Mamndenyi, Lady doctor, amu, kiwatengu, figganigga, Boflo, zomba, ladyfurahia, Tangopori, lara 1, NasDaz, KOKUTONA, malisoka englibertm Katavi ushiboy taamu marejesho Passion Lady YNNAH Queen Kan Kipipi Albedo Nicas Mtei Asprin Mentor Blaki Womani Husninyo Kapalampya MziziMkavu
 
Ahsante sana mtani wangu Ritz.

Karibu nawe kwenye kura Jumapili ijayo hapa Arusha.
 
Last edited by a moderator:
aisee mie nausubiria ule mwaliko wa kila mwaka pale mjengoni kwa Mkulu...sasa sijui ndio huu?
 
hapa nakaa na mume wangu tu, wewe tafta kigogo ukalie

astaghafilullah...binti wanambia nkalie nini? hebu sahihisha kauli hiyo kabla sijaulamba huo mkonowe, niukung'ute hivyo vipunje vya pilau halafu niusugue chini mavumbini...
 
Back
Top Bottom