Wadau niokoleeni huyu mwanandugu!

Mdau Mkuu

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
233
45
Waungwana nifanyeje nimsaidie mdau wangu maana ana miaka 4 amekuwa sugu wa kujichua! sasa baada ya kuchonga naye nimemtajia madhara yake moja wapo ni kupoteza nguvu za kiume!ajabu ameacha kujichua yapata miezi 2, ila ndo hatamani mademu afu hata akigonga anapiga bao mapema.

In short anadai haenjoy kugonga demu afu pia anadai ni kwa afya yake coz asingepata ngoma!me kisera nkicheki jamaa atarudia kuuwa watoto bafuni maana cjajua nifanyeje!wanajamii nisaidieni maana hata akiona watoto wenye mabastora makubwa ama wale wanaoweka matiti nje a.k.a double line hatamani wala nini.

Pls nipeni maushauri ndugu zangu.
 
duh hii kali...mjenge kisaikolojia zaidi...kama vp awe anatazama na porn zinastimulate lakini awe makini asiende bafuni afterthat
 
Aaah,ngunga sio mbaya,mwache aendelee kupiga kwanza zinasaidia kukuza maumbile ya kiume!!!
 
Waungwana nifanyeje nimsaidie mdau wangu maana ana miaka 4 amekuwa sugu wa kujichua!sasa baada ya kuchonga naye nimemtajia madhara yake moja wapo ni kupoteza nguvu za kiume!ajabu ameacha kujichua yapata miezi 2,ila ndo hatamani mademu afu hata akigonga anapiga bao mapema,in short anadai haenjoy kugonga demu afu pia anadai ni kwa afya yake coz asingepata ngoma!me kisera nkicheki jamaa atarudia kuuwa watoto bafuni maana cjajua nifanyeje!wanajamii nisaidieni maana hata akiona watoto wenye mabastora makubwa ama wale wanaoweka matiti nje a.k.a double line hatamani wala nini plz nipeni maushauri ndugu zangu
Mdau mkuu sema ukweli bwana tutakusaidia tu, Kwani mpaka uzunguke? Vipi umeamua kuacha mkuu? Umekua siku hizi? Ongera baba
 
Hapana mdau wangu,me huko Muheza nna magoma 6,hapa Dar ninayo 4,afu mabeki 3 nnayo ma5,sa mie n2mie masabuni wapi na wapi mdau wangu!me nataka nimsaidie huyu kijana na sivinginevyo!
 
Mwache tu aendelee kwani hakuna madhara yoyote medically. Siku akikutana na taste tofauti ataacha mwenyewe. Kwa nini aache sasa wakati hana mbadala?
 
Na wadada wakifanya kuna ubaya???:decision:

Sina hakika kama kuna ubaya wowote ingawa mimi siyo dada na siwezi kuwasema wadada. Ni suala la kitu gani roho inapenda. Kwani wewe unaonaje?

Lakini kama hutaki kufutika duniani (i.e wataalamu wanasema kuwa ni kufa na kizazi chako) basi huo mchezo haufai.
 
Ndugu yangu Maria Roza huyu mwanandugu ningekupa number yake bt ni vema kama yeye mwenyewe angekuwa tayari!bt wacha nchonge naye akikubali ntakupa mwana!T USKER BARIIIDI nimefurahi hiyo nickname yako!Ama nimshauri 2we 2napiga naye mitungi ndo kutasaidia nini!afu pia nawashauri wakina dada mkiwa kwenye sita kwa sita muwe mnajituma sio mnakuwa kama mti bana wala hamtingishiki wala hamuoneshi utundu wowote ndo maana vijana wanaamua kujikamulia nature raha kulikoni kumitafuteni afu ndo mnawapa madhara hawa vijana kutokana na mambo yenu ya kigoroko!
 
Wadau vipi??? Badala ya kumpa ushauri utakaomfaa kijana mwenzetu nyie mnaleta utani.

Ngugu Mzizi Mkuu mwambie huyo best afanye/asifanye yafuatayo:
Ale vitunguu swaumu na vitunguu maji kwa wingi ili apate hamu ya kujamiiana.
Ale korosho na karanga kwa wingi ili aongeze mbegu za kiume.

Asipige punyeto. Uume umeumbwa kwa ajili ya kuingizwa katika uke. Maumbile ya ndani ya uke yako laini ili kuufanya uume usiumie. Ngozi ya viganjani ni ngumu kutokana na shughuli ngumu zifanywazo na mikono. Hivyo kutumia viganja kupiga punyeto ni kujitafutia matatizo siku za usoni, kwani atakuwa akiuumiza uume wake polepole.

Kama hajaoa na anaogopa kufanya zinaa, mwambie afunge na afanye mazoezi kwa wingi. Vitu hivyo vitamsaidia kupunguza matamanio ya kufanya ngono. Pia mwambie asiwe anaangalia picha ngono.


***********************************************
USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO
***********************************************
CCM ni MBACHAO yangu, sitoiacha. CHADEMA na CUF ni MISALA IPTAYO

Whereever you go CCM is :first:

:welcome:
 
Hapana mdau wangu,me huko Muheza nna magoma 6,hapa Dar ninayo 4,afu mabeki 3 nnayo ma5,sa mie n2mie masabuni wapi na wapi mdau wangu!me nataka nimsaidie huyu kijana na sivinginevyo!

Kuwa na wapenzi wengi sio ujanja. Je, unajua ni kiasi cha energy unapoteza pindi unapotoa mbegu za uzazi????
 
Baba Mtu kumbuka wameumbwa kwa ajili yetu pia ndo mapambo na maua yetu,so wacha tujirembe nayo na kujiachia nayo!usijaribu kuumiza wala kuumizwa kichwa na magoma maana hapa duniani sisi wanaume ndo tumeachiwa urithi huo 2 sio kingine!
 
Waungwana nifanyeje nimsaidie mdau wangu maana ana miaka 4 amekuwa sugu wa kujichua!sasa baada ya kuchonga naye nimemtajia madhara yake moja wapo ni kupoteza nguvu za kiume!ajabu ameacha kujichua yapata miezi 2,ila ndo hatamani mademu afu hata akigonga anapiga bao mapema,in short anadai haenjoy kugonga demu afu pia anadai ni kwa afya yake coz asingepata ngoma!me kisera nkicheki jamaa atarudia kuuwa watoto bafuni maana cjajua nifanyeje!wanajamii nisaidieni maana hata akiona watoto wenye mabastora makubwa ama wale wanaoweka matiti nje a.k.a double line hatamani wala nini plz nipeni maushauri ndugu zangu

Kwa details ulizotoa yaelekea tatizo ni lako mwenyewe, hakuna haja ya kujitetea.

Madhara ya kupoteza nguvu za kiume hamna, au niseme sijasikia kama kuna tafiti yeyote iliyofanywa ikathibitisha hilo. Kisaikolojia madhara yapo kwani ukishajenga habit ni ngumu kuiacha, hasa kama haikusumbui.

Zamani walikua wanasema ni "taboo" lakini baada ya ukimwi kupamba moto sasa inazungumzwa kama moja ya alternative za kujiepusha. Na jina wameipa, Self sex.

Nakushauri endelea tu, ila ukifika muda uliojipangia wa kutafuta mwenzio, ACHA. Baada ya wiki kama 6 hivi ya kutofanya utaanza kusahau taratibu. Unaweza kuacha ukiwa na nia
 
Back
Top Bottom