Wadau mi mgeni humu jamvini

Ndokororo

Member
May 10, 2011
38
3
Wadau wana jf.nimekuwa mpitaji sana humu,ila sikuwa member.nimejiunga rasmi ili nami niweze kuchangia mada+hoja mbalimbali.kwani jf imekuwa ndio kiburudisho changu ninapokuwa nimepumzika.pamoja!
 
Karibu sana mgeni, jisikie upo nyumbani, wakifika wenyeji utapatiwa kinywaji ukipendacho.
 
Wadau wana jf.nimekuwa mpitaji sana humu,ila sikuwa member.nimejiunga rasmi ili nami niweze kuchangia mada+hoja mbalimbali.kwani jf imekuwa ndio kiburudisho changu ninapokuwa nimepumzika.pamoja!

Karibu JF "The home of Great Thinkers"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom