Wadau kwani nyie huwa mnatumia mbinu gani kuwakimbia wake zenu

The lastborn9319

JF-Expert Member
Oct 30, 2021
806
1,655
Wadau kwani nyie huwa mnatumia mbinu gani kuwakimbia wake zenu,maana mi huyu shemeji yenu anakaba hadi penati kila niendapo naye yupo huyu hapa kama mkia,nimejaribu kumtoroka mara kadhaa nilifanikiwa mara chache sana,siku hizi ndo haiwezekani kabisa yan anataka tuongozane kila sehemu,imagine imefika hatua hadi kazini utashtukia tu huyu hapa hadi washkaji sasa wamemjua wakimuona tu utasikia "lastborn shemeji amekuja"....

Mbaya zaidi sasa hivi ana-goal Sasa mchana amepika ndizi ameacha eti anataka nyama ya kindege yan vile vindege vinavyoruka tumebishana sana,hivi sasa amevaa jezi yangu anataka twende wote tukaangalie mechi....

Dah nimebugi kuaga

Anyway,sababu inayofanya nisipende kuongozana naye ni kwamba ana mawenge na mapepe kama yote,si mnajua hawa viumbe..
 
Wadau kwani nyie huwa mnatumia mbinu gani kuwakimbia wake zenu,maana mi huyu shemeji yenu anakaba hadi penati kila niendapo naye yupo huyu hapa kama mkia,nimejaribu kumtoroka mara kadhaa nilifanikiwa mara chache sana,siku hizi ndo haiwezekani kabisa yan anataka tuongozane kila sehemu,imagine imefika hatua hadi kazini utashtukia tu huyu hapa hadi washkaji sasa wamemjua wakimuona tu utasikia "lastborn shemeji amekuja"....mbaya zaidi sasa hivi ana-goal Sasa mchana amepika ndizi ameacha eti anataka nyama ya kindege yan vile vindege vinavyoruka tumebishana sana,hivi sasa amevaa jezi yangu anataka twende wote tukaangalie mechi....
Dah nimebugi kuaga
Mpe kazi toshelezi hayo mambo yanaishia hapo hapo
 
Hyo cyo mimbaa au ndo ulastborn 🤣🤣
 
LABDA mjazito. Maana wajawazito huwa wanatabia kama hizi sometimes.
 
Hapo kwenye jezi vipi ndani amevaa pichu kweli maana nasikia huko ni kijora bila pichu na msuli bila tvs 125
 
Back
Top Bottom