Wadaiwa sugu ni hawa hapa

1. Escrow
2. Lugumi
3. Chenji ya rada
4. Milemeta
5. Kagoda company Ltd
6. Richmond
7. Mabilioni ya Jk
8. Pesa za kilimo kwanza
9. Ufisadi wa flow meter Tpa
10. Yuko Wapi Jitu Patel.
Sisi wanafunzi siyo wadaiwa sugu tutalipa tu tuvumilieni, vipi hao wamelipa?
11. Bank ya Stanbink kupitia kwa mshirika wake egma.
 
wengine ni uuzaji NBC, Mgodi Kiwira, UDA nk. wadau tuwataje na wengine ambao mtoa mada kawasahau ili rais afukue.
 
Back
Top Bottom