Wadaiwa kutumia kucha kutairi

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Hii nimeipenda! Da yaani watoto huko Ntwara sehemu za Tandahimba wako hatarini kuambukizwa virusi vya ukimwi kutokana na mangariba wnaowatahiri kudaiwa kutumia kucha zao kama zana za kutahiria.

Source: Gazeti la Mwananchi toleo la leo.

Mi naomba kuuliza, hizo kucha ni za aina gani? Yaani hunolewa ama wanamenya tu. Kama kweli basi wamasai wanatairiwa kwa starehe zaidi.
 
hii kali, ina maana hata wembe hakuna??
ni hatari sana kwa afya.
 
Back
Top Bottom