Wadada wanadanganywa sana na Rose Shaboka

Huyo mume alikuwa na uhusiano na Angel benard na wamezaa mtoto mkubwa
Ndipo kuolewa mchungaji Rose
Mie sioni ubaya wa Rose sema muhimu akili kumkichwa anashauri watu wasikimbilie ndoa wajiandae kiakili na kila kitu maana ndoa ni kujikana kuvumiliana sio rahisi bora utafute mtu kwa kuchelewa ila muemdane kuliko kukurupuka ukakimbia
kwaio Angel Benard alizaa na Nick, kisha akaolewa na mtu mwingine, na saizi ana ndoa nyingine ya tatu huko marekani?
 
Hapo sasa, yaan wabongo wana abudu ngono km kula, usipojihusisha nayo lazima waanze minong'ono.
Watasema una matatizo mara sijui huwezi kuwa sawa.upuuzi mtupu.zile jamii zisizoshiriki ngono mbona zipo vizuri tu
 
Huyo mume alikuwa na uhusiano na Angel benard na wamezaa mtoto mkubwa
Ndipo kuolewa mchungaji Rose
Mie sioni ubaya wa Rose sema muhimu akili kumkichwa anashauri watu wasikimbilie ndoa wajiandae kiakili na kila kitu maana ndoa ni kujikana kuvumiliana sio rahisi bora utafute mtu kwa kuchelewa ila muemdane kuliko kukurupuka ukakimbia
 
Attachments

  • IMG_20240121_065722.jpg
    IMG_20240121_065722.jpg
    87.4 KB · Views: 8
mimi yule kiria namwitaga ni shetani yezebeli kabisa, kwanza kitendo cha kukiri kwamba aliishi na yule dj miaka 8 akimbania asimzalie watoto, na kwamba aliolewa naye baada ya kupata shida ya kipesa hivyo hakumpenda ila alifuata pesa, na alipomsumbua sana akamaua kuachana naye kwa kukodi magari toka magomeni kuelekea kinondoni kuchukua talaka, nilimwona shetani kabisa. ameadanganya wanawake wengi sana, ila KIleo ndio hakuwa mjinga, alimzaba vibao na matukio juu. huyo zumbukuku ameokota UK ndio sijui naye ...., niishie hapo.
Chaga woman yule
 
Huyo mume alikuwa na uhusiano na Angel benard na wamezaa mtoto mkubwa
Ndipo kuolewa mchungaji Rose
Mie sioni ubaya wa Rose sema muhimu akili kumkichwa anashauri watu wasikimbilie ndoa wajiandae kiakili na kila kitu maana ndoa ni kujikana kuvumiliana sio rahisi bora utafute mtu kwa kuchelewa ila muemdane kuliko kukurupuka ukakimbia
Jmn kumbe watu wana mambo makubwa hayaaa... Sema mume mwenyewe anaoneka ana mambo mengi tu
 
Hapo sasa, yaan wabongo wana abudu ngono km kula, usipojihusisha nayo lazima waanze minong'ono.
Ngono (mapenzi,tendo)muhimu sana usiniulize kwa Nini ila mi naona ni muhimu sana kwa afya ya mwili akili na nafsi
 
Kuna mchungaji anajiita Rose shaboka.

Nadhani Kuna mahubiri yake ya hivi Karibuni amekuwa akihamasisha wanawake waendelee kuwa singo na wala wasiwe na haraka ya kukimbilia ndoa.

Ilhali yeye mwenyewe ana ndoa yake tena ameipata kwa kuipambania kutoka kwa msanii wa nyimbo za injili angel Bernard.

Kwanza ndoa yake imekuwa ya migogoro sana mara zote mume wake amekuwa mtu wa kumpiga matukio ila akiwa madhabahuni kama hakuna kinachoendelea.

Wadada kuweni makini na wachungaji wenu.

Ndoa sio maigizo.

Anapenda UNFEMININE huyu dada.

Simsemi kwa ubaya.
Huu ni wivu uliopitiliza. Au ndiye uliyeporwa mchumba akaolewa Rose?
 
Pale Dadaz kuna mmoja kaolewa na ndoa juu,

Mmh basi ye ndo kaoa huyo bwana ila tujipe muda tu huenda lo lote likatokea

Pale kwa akili yangu siwezi shauri rafiki awe na mpenzi kwenye kile kikundi labda nimshauri amkomoe mmoja wao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom