Wadada wa Kitanzania wanaotamba katika filamu

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Thread hii inatokana na thread ya FL1 kuhusu kina dada wa Nigeria wanaotamba katika movies huko kwao.

Hebu tujadili kuhusu waigizaji wa kike wa Tanzania wanaotamba katika filamu za hapa nyumbani, tukingalia uwezo wao wa uigizaji, elimu, heshima waliojijengea kwenye jamii na mafanikio kwa ujumla ukifananisha na wenzano wa Nigeria.,tetesi, udaku vinaruhusiwa pia.,kwa kuanzia tu tunao baadhi ya waigizaji kama:

Johari
Auntie Ezekiel
Irene Uwoya
Mainda
Maya
Wema Sepetu
Tea
............... n.k
 
Ngoja nijaribu kupitia profile zao kama tutapata detail bad Lucky wengine si wapenzi sana wa movie zao mala nyingi zinzkuwa copy and paste
 
Tutaanza kupata habari za kukopi na kupaste kutoka magazeti ya udaku!
 
Ngoja nijaribu kupitia profile zao kama tutapata detail bad Lucky wengine si wapenzi sana wa movie zao mala nyingi zinzkuwa copy and paste

mkataa kwao mtumwa lakini mie kwa hili nipo tayari.........
 
hujambo Charity?

weka ile ya Aunty si unayo?
Sijambo my baby!
kwaresma vipi?Naona wapwa(Xpin,Fidel,Geoff,Kaizer,Carmel n.k )
wako bize na mafungo sijawahi ona.Mwaka huu mpka jf wote waokoke.
Na sie twende mafungoni au unaonaje?
 
Charity, kwenye blue hapo hapakwepeki
 
Sijambo my baby!
kwaresma vipi?Naona wapwa(Xpin,Fidel,Geoff,Kaizer,Carmel n.k )
wako bize na mafungo sijawahi ona.Mwaka huu mpka jf wote waokoke.
Na sie twende mafungoni au unaonaje?

nasikitika kukuambia wote hao pamoja na Bigirita wapo Jukwaa la Maria Roza na kijana mwingine Cox'something' mgeni mgeni hivi.....
 
Niko hapa mamushka. Haya anza kwa kuomba radhi. Unajua nna siku mbili sijaonja valuu?
 
Sijambo my baby!
kwaresma vipi?Naona wapwa(Xpin,Fidel,Geoff,Kaizer,Carmel n.k )
wako bize na mafungo sijawahi ona.Mwaka huu mpka jf wote waokoke.
Na sie twende mafungoni au unaonaje?
KARIBUNI SANA CHELSEA-GUEST HOUSE!tupo hapa tumechukua gesti nzima nzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom