Wadada tungepata miavuli hii tusingepata shida......

vkeisy2006

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
229
99
creative-Umbrella-38.jpg
 
Ni PM kisha nitakupa namba yangu ya M -Pesa utanitumia 8,000 tu nikuagizie. Unaweza ukaagiza mingi kadri unavyoweza
 
sasa kabla sijakiagiza, wakati nimekifanya pochi mvua ikaja ghafla (unajua tena mambo ya mvua) hivyo vitu ndani ya pochi navipeleka wapi?
 
Teh teh teh, umeniacha hoi sana Bill! ila ni mwavuli mzuri wenye multiple use.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom