Wadada siku hizi sijui ni aibu hawana au ndo haki sawa kwa wote?

Sambinyakwe kitololo

JF-Expert Member
Nov 15, 2022
2,421
2,890
Nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo ukifanikiwa kula hata ka denda basi yule binti anaanza kukuogopa au ukifanikiwa kula tunda lake yule binti kesho yake hawezi kuku face yaani hata akikuona ana badili njia.

Kuna kipindi mkoa flani nilifanikiwa kupata kimasihara, yule binti alikuwa na aibu Sana hata Kama kasimama na wenzake nikitokea kwa mbali anakimbia kuonana hataki anasikia aibu Yani Hadi badae kabisa ndo akaanza nizoea kidogo na sio mmoja hata.

Ila siku hizi unamaliza shughuli mtu hata haogopi kuvaa havai hajifichi unakuta kajimanua tu hana habari anachat zake mnaondoka wala haoni aibu kama dakika chache zilizopita umemchungulia kesho yake mnakutana sehemu hata hawazi namna ulimueka jana yake.

Dhuu kizazi Cha Sasa.

Hivi imagine nimepata kabinti kadogo ndo chuo first year baada ya form six ila hakaogopi kwamba jamaa ni miaka kumi mbele yake unamaliza shughuli Wala hawazi, daaa hata aibu kwa mbali hana.
 
Ndugu kimbia zinaa, uwe na amani.
 
Ukiomba namba ukapewa ndio ushagegeda na rasmi ushaingia kwenye kundi la ulezi wa huyo muhisika. Matatizo yake yote ya kweli na ya uongo yanakuwa ni jukumu lako.

Siku hizi wanawake hawana aibu kabisa. Ukimaliza kumgegeda usipompa hela anakudai. Kwa kifupi siku hizi hakuna mapenzi bali ni biashara.
 
Kuna siku mtu anasema nilijua utanipa hata 20 ..nikamuuliza unauza ? Kwa dharau hapo nishapata utelezi
 
Attachments

  • Screenshot_20221217-212841.png
    Screenshot_20221217-212841.png
    88.7 KB · Views: 31
Back
Top Bottom