Wadada makwapa hayo

Hii ni kweli jamani,unakuta mwanamke,binti,msichana kwapa lake linatoa harufu kweli halafu kaweka kishoka sasa kwenye gari,,,,,uwiiiiiiiiiiiiii!!!mdomo unanuka,kwapa linanuka,nywele zinanuka,papuchi ndo usisema!!!ni shiiiiiida kwa kweli!!
 
Hahahahahahahahaha!! Chinga One umeikamilisha cku yangu leo, duh! Rangi ya shaba
 
ha ha ha h jamani pia kuna watu anaharufu ya kikwapa lakini hajijui sio wakaka sio wadada jamani mtu inakuwaje husikii harufu yako? utakuta mtu kavaa shati jeupee au bidada kapiga makeup huko usoni balaa sasa akusogelee dah kijasho hicho mwingine mpaka nguo zake zimekuwa na harufu hiyo tu aiseee me najua kila mtu ana jasho lakini kuna njia nyiingi za kucontrol hiyo hali isikere wengine na hao wanaovaa vitop hali wajua makwapa yao hayana mvuto si waache tu jamani wafiche hivyo vipapatio kupendeza si lazima kuvaa kitop chaaaaaa
 
Hii ni kweli jamani,unakuta mwanamke,binti,msichana kwapa lake linatoa harufu kweli halafu kaweka kishoka sasa kwenye gari,,,,,uwiiiiiiiiiiiiii!!!mdomo unanuka,kwapa linanuka,nywele zinanuka,papuchi ndo usisema!!!ni shiiiiiida kwa kweli!!

Hivi uchafu unajinsia?
 
kwa kweli inakeraaaaaa

Ila kuna wanaume ambao wanapenda...ndio maana utakuta mkaka mdaa mchafuu ananuka yeye anaenda...wengine wanapenda harufu harufu flani nahisi pengine zinawapa stimu

Unakuta mdada kavaa kitop halafu kwapa nje,inarusha stimu kwapa yenyewe imekomaa kwa kukwanguliwa kwa wembe kwapa nyeusiii....inaboa sana wengine tuna let muonekano wa kwapa na papuchi zenu.

Binti kwapa mda wote imeloa jasho inatema mbaya tena imeotea utoko utoko daaah hata mzuka wa kupiga mzigo unapotea hebu kuweni wasafi na muwe mnazifichaga hizo kwapa.wenyewe mnaona usasa na hizo top zen kuacha mikwapa wazi mnakera sana.
 
Ila kuna makwapa jamani mengine sio siri yamekomaa...kama uvungu wa korodani...
Wadada hebu muwe mnayaficha basi...au sijui ule usugu na ule ukoko kama uchafu wa vocha husababishwa na yale mapochi huwa mnayakumbatia kutwa....!!!

Unamkuta mdada kavaa kitopu mkono wa kulia kashika bomba kwenye daladala, misharubu ya huko imejichomoza kama mimeno ya mamba...halafu mkono mwingine kashikilia simu anachonga umbea na shosti...hiyo harufu yake salaleeee
Watu8 jamaa upo kweli JF long time no see you bro maana wiki tu kwa uhai wa binadamu ni kubwa sana....vinginevyo nakusabahi tu mkuu👋
 
Wanaume wa aina hiyo hawapo????unapoongelea swala la usafi jaribu kuBalance mambo na sio kuwa bias sawa eeeehhhh????

Bora aliyekomaa kwa wembe.....wapo wanaume wakivaa vest zao fulu kichaka tena cha njano waweza sema mvii si mvii rangi ya shabaaa lol!!!!!
Unataka topic moja iongelee kila kitu? Hii ni mahususi kwa hili tu, ukitaka hilo nawe anzisha yako, wacha kukwepesha hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna makwapa jamani mengine sio siri yamekomaa...kama uvungu wa korodani...
Wadada hebu muwe mnayaficha basi...au sijui ule usugu na ule ukoko kama uchafu wa vocha husababishwa na yale mapochi huwa mnayakumbatia kutwa....!!!

Unamkuta mdada kavaa kitopu mkono wa kulia kashika bomba kwenye daladala, misharubu ya huko imejichomoza kama mimeno ya mamba...halafu mkono mwingine kashikilia simu anachonga umbea na shosti...hiyo harufu yake salaleeee
Hahaha umeongea kwa hisia balaa nimecheka kwenye neno masharubu yamechomoza kama meno ya mamba Watu8
 
Back
Top Bottom