Wachumba waliobahatika kufanana maumbile ya midomo

dah,niliona na mie nikakerwa na hayo makiss yao. t was like yaks! mh,kila mtu na choice yake jamani,naheshimu hilo!
 
Ukiona mwanaume mikufu na hereni zinazidi ujue u**nge kama bado haujafika basi uko karibu !
 
Kuchanganya lugha siku hizi imekuwa fasheni, mwingine unaongea naye anakuchanganyia maneno ya kifaransa mpaka kitaliano, kazi utakuwa nayo siku hiyo but kama humuelewi vizuri unaweza kumuuliza na kama ni mstaarabu atakujibu vizuri.
 
acheni wivu jamani, hilo domo kina lundenga ndo waliliona linafaa, nyie tena vip mnaanza kumnanga kiasi hicho. Mbona alivyopata umiss wote mlimkubali? sisi wabongo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom