Wachina wapo juu

thadei kimambo

JF-Expert Member
Jan 31, 2013
220
126
Eti dogo mmja aliona katoto ka kichina kamezaliwa na mama yake wakati bado hakajakatwa hata utumbo.dogo akaenda kumwambia mama yake "mama wachina kweli wapo juu".mama akamuuliza kwanini? Dogo akasema leo nimeona katoto ka kichina kamezaliwa na charger yake kabisa.
 
Back
Top Bottom