Wachina wajenga jengo lenye ghorofa 57 ndani ya siku 19

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,724
48,543
china_skyscraper_in_19_days-4.jpg

CHANGSHA, China — A Chinese construction company is claiming to be the world’s fastest builder after erecting a 57-story skyscraper in 19 working days in central China.
The Broad Sustainable Building Co. put up the rectangular, glass-and-steel Mini Sky City in the Hunan provincial capital of Changsha using a modular method, assembling three floors per day, company vice president Xiao Changgeng said.
The company, which has ambitions to assemble the world’s tallest skyscraper at 220 floors in only three months, worked on Mini Sky City in two spurts separated by winter weather. Its time-lapse video of the rapid assembly has become popular on Chinese video-sharing sites since it was first uploaded on YouTube

Chinese builders erect 57-story skyscraper in 19 days | New York Post
 
Last edited by a moderator:
Tayari hao wana wakala wao Tanzania na sasa hivi tutaona wakianza kufanya maajabu yao Tanzania.
 
Bora leo naona unasifia bila kuingiza upuzi wa dini, nahisi sasa unaona watu wanavyofanya kazi bila uvivu wa kuvaa makanzu. Ghorofa linapigwa ndani ya siku kumi na tisa halafu lina ubora utadhani lilijengwa mwaka mzima.
 
Huyo mtu ana akili zake timamu na mfuasi msuri wa Mwalimu Nyerere tatizo lake ni ike hali inayomlazimu kuwatetea ndugu zake walioteleza na wale waliomezwa kwenye udini uliotopea
 
Bora leo naona unasifia bila kuingiza upuzi wa dini, nahisi sasa unaona watu wanavyofanya kazi bila uvivu wa kuvaa makanzu. Ghorofa linapigwa ndani ya siku kumi na tisa halafu lina ubora utadhani lilijengwa mwaka mzima.

What do you earn ukikashifu imani ya mtu? Unafahamu kwamba KUKASHIFUni kosa kisheria?. Kama ulikuwa na haja ya kumuelimisha ungetumia lugha ya kawaida tu na angekuelewa tu na pia ungeeleweka.
Nikushauri kuwa muungwana usikashifu wala kutukana dini ya mwengine ili na yeye asikutukanie dini yako ambayo unaiamini na kuipenda. Hivi utafurahi imani yako ikikashifiwa?
Hili halihitaji Phd mkuu wala msaada kutoka USAID, ni suala la kustaarabika tu.kuwa mstaarabu
 
Hata papa anavaa kanzu, shika adabu yako.

Tazama miji ya wavaa makanzu wanavyo i develop:

Dubai

Qatar

Haramain Railway to open December 2015
 
Hao wanavaa makanzu na kulea ndevu halafu wanatumia hela za mafuta na kukaa pembeni akili zikitumika na wenye wanazo. Bure hawawezi chochote wenyewe.
 
What do you earn ukikashifu imani ya mtu? Unafahamu kwamba KUKASHIFUni kosa kisheria?. Kama ulikuwa na haja ya kumuelimisha ungetumia lugha ya kawaida tu na angekuelewa tu na pia ungeeleweka.
Nikushauri kuwa muungwana usikashifu wala kutukana dini ya mwengine ili na yeye asikutukanie dini yako ambayo unaiamini na kuipenda. Hivi utafurahi imani yako ikikashifiwa?
Hili halihitaji Phd mkuu wala msaada kutoka USAID, ni suala la kustaarabika tu.kuwa mstaarabu

Dini ipi umeona ikikashifiwa hapa, nimeongelea huyo mama ana mazoea ya kuharibu uzi kwa kuleta dini yake. leo nimempongeza maana hajaitaja dini na amesifia kazi.
 
Hao wanavaa makanzu na kulea ndevu halafu wanatumia hela za mafuta na kukaa pembeni akili zikitumika na wenye wanazo. Bure hawawezi chochote wenyewe.

Unataka fedha yao wasiitumie? Hata minyang'au imejaa huko inatumwa na wavaa makanzu, usisahau hilo.
 
Unataka fedha yao isiwatumie? Hata Mikenya imejaa huko inatumwa na wavaa makanzu, usisahau hilo.

Wawe wanatumia hela na akili pia sio kuvaa manguo za kiajabu ajabu. Wachina wana hela na pia wanatumia akili, hutowakuta wakifanya mambo ya kijinga kuzingua ulimwengu na itikadi zao.
 
Hao unaosema hawafanyi mambo ya kijinga ni kwamba hujakaa nao na huwajui. Pole yako
 
Hawa jamaa nimewakubali sana sio sisi huku kwetu jengo la ghorofa 4 tu linajengwa hadi miaka miwili hilo jengo ingekuwa ndio wabongo wanajenga ingewachukua hata miaka 10 lakini lingekuwa bado halijaisha
 
Wawe wanatumia hela na akili pia sio kuvaa manguo za kiajabu ajabu. Wachina wana hela na pia wanatumia akili, hutowakuta wakifanya mambo ya kijinga kuzingua ulimwengu na itikadi zao.

Hata sikuelewi unachosema ni nini.
 
Back
Top Bottom