JS JF-Expert Member Sep 29, 2009 2,064 499 Dec 13, 2011 #21 Mnawaonea wachina wa watu sasa ulitaka miezi yote hiyo wakae tu bila kufanya samsingi? hata wao ni wanaume bana
Mnawaonea wachina wa watu sasa ulitaka miezi yote hiyo wakae tu bila kufanya samsingi? hata wao ni wanaume bana
The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,080 Dec 13, 2011 #22 Tobaaaa....isije ikawa na yule nanihiii wa kule nanihiii anayeishi nanihiii naye kapata katoto ka kichina
Tobaaaa....isije ikawa na yule nanihiii wa kule nanihiii anayeishi nanihiii naye kapata katoto ka kichina
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Oct 12, 2011 1,741 511 Dec 13, 2011 #23 The Finest said: Tobaaaa....isije ikawa na yule nanihiii wa kule nanihiii anayeishi nanihiii naye kapata katoto ka kichina Click to expand... Hahaha, una nanihii wewe!
The Finest said: Tobaaaa....isije ikawa na yule nanihiii wa kule nanihiii anayeishi nanihiii naye kapata katoto ka kichina Click to expand... Hahaha, una nanihii wewe!
Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,757 437 Dec 13, 2011 #24 BornTown said: Wagogo + Wachina = ???? Click to expand... WACHIGO= WAGOGO +WACHINA Tumepata kabila lingine na kufika 27
BornTown said: Wagogo + Wachina = ???? Click to expand... WACHIGO= WAGOGO +WACHINA Tumepata kabila lingine na kufika 27