Wachimba migodi waliofukiwa Chile baada ya kuokolewa wako wapi?

CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,503
25,466
Wakuu kwa mwenye kujua hivi wale wachimba Migodi waliofukiwa kwa takriban miezi Miwili huko nchini Chile baada ya kuokolewa walienda wapi? Na vipi hali zao Kiafya?

Baada ya kuokolewa sikusikia tena kuhusu habari zao!
 
Mara ya mwisho walialikwa old Trafford kushuhudia moja ya MTA Ange wa EPL manu wipokua wakicheza sikumbuki na timu gani.
 
Last week walikuwa US, kuna movie imetengenezwa based on their true story ndio walikuwa wamealikwa siku ya kurelease
 
Mara ya mwisho walialikwa old Trafford kushuhudia moja ya MTA Ange wa EPL manu wipokua wakicheza sikumbuki na timu gani.

Hii nilipata kuisikia kipindi fulani kuwa wataalikwa kwenye mechi ya Soka but sokusikia tena,

Thanks Mkuu
 
Mara ya mwisho walialikwa old Trafford kushuhudia moja ya MTA Ange wa EPL manu wipokua wakicheza sikumbuki na timu gani.

Hii nilipata kuisikia kipindi fulani kuwa wataalikwa kwenye mechi ya Soka but sikusikia tena taarifa zao,

Thanks Mkuu
 
Daah umenikumbusha mbali,lile tukio lilikuwa very interesting
 
Ni kweli Mkuu,
Raisi mwenyewe wa chile alikuwepo kwenye eneo la mgodi kuwapokea victim wakati wanaibuliwa kutoka walikokuwa "Wamezikwa"
 
Alafu huko chini walitumiwA nguo mpya wakaibuka juu wakiwa wameulamba ka watalii
 
Wakuu kwa mwenye kujua hivi wale wachimba Migodi waliofukiwa kwa takriban miezi Miwili huko nchini Chile baada ya kuokolewa walienda wapi? Na vipi hali zao Kiafya?

Baada ya kuokolewa sikusikia tena kuhusu habari zao!
Ili iweje sasa? Kama huwezi kujenga hoja si ukae kimya?
 
Angalia filamu inaitwa "33"
images
 
Back
Top Bottom