Wachezaji wa mexico wafungiwa miezi sita kw akubambwa na machangudoa;si mchezo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Jamani hawa machangu wanamvuto gani yaani ronaldo,cruch,rooney,,yaani masuper star woote sasa imerudi kwa wachezaji soma hili

wachezaji wa timu ya taifa ya mexico 8 wamefungiwa miezi sita kwa kukutwa wkaifanya mapenzi na wanawake wanne kwenye hotel waliofikia siku m oja kabla ya mechi.. Wachezaji hao
samahani kama kuna ndugu yako wakaribu hii ni jf bana
1.jonathana santos
2,israel/jmenez
3.nestor/v
4,david/cabrea
5,marco fabian
6,javier cortes
7,jorge hernandez
8,nestor caldren huyu ndie alihiitimisha mtungo huo
habari zaidi zinasem a wachezaji hao walilalamika wameonewa lakini muda mfupi baada ya mechi walikalishwa chini na kuanza kuonyeshwa mambo yrtu ya cctv jinsi wanawake walivyoingia walivyoanza kuwavua chupi na mpaka mmoja kutaka kutishia kupiga kelele kama awatalipwa hela waliokubaliana na hii ni baada ya david cabrea no 4 hapo juu kusema hela waliosema awaana so wtimue hata hivyo ilikubaliwa waendelee na shuguli hiyo wakihofia siri hiyo kuvuja ,,habari zaidi zinasema hilo alikusaidia wanawake hao walichukua hela na kwenda kumtafuta kocha wa timu hiyo ambapo alipeyezewa picha za utupu za wachezaji hao ..habari zaidi nunua mwanaspoti ili
wafanyakazi waweze lipwa mshahara

kazi kwako sasa na wale wanaowachuchumalisha madada zetu kwenye ma benchi kule ofisini sijui wananaswaje jamaniyaani lunch time wake za watu wengi sana wamekuwa ndaniya tinted kuelekea kunani ama waaoona garama awakusita kuhitimisha shuguli hiyo hapo hapo ofisini

mungu aturehemu
 
Back
Top Bottom