Wachaga wawa vivutio; kupungua kwa foleni Dar

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,289
22,589
Kama ningekuwa karibu na Mungu ningemwomba kilwa mwezi uwe December;;wapendwa sijui huko mbagala kimara ila wa huku maporini tegeta mwenge mpaka mjini barabara nswano kabisa
Hili lilinifanya kutafuta sababu maalum na kuakikishiwa na mmoja wa maofisa wapolisi barabarani anaependa sana kukaa pale morocco kwamba WACHAGA ndio walkuwa wakijaza magari yao

Kutokana na muda hu wa kuhesabiwa wengi wamefungia magari majumbani mwao na wengine kusemekana hata watoto awagusi maana funguo wameondoka nazo ..kwa kweli hili kwanza napenda
kuwapongeza mashemeji zangu kwa kuwa mlijiandaa kweli wakati mnakuja dar toka uru/marangu/rombo/kiraracha/kishumundu nk

Pili nawapongeza kwa kujali mila maana wengi wa waliobaki hapa nawahakikishia wazazi wao wanakufa maskini na njaa hata kwenda mbeya singida na mbaya zaidi wengine hapo morogoro naamini kwa hili mliobakia embu tuachieni wapogoro barabara zetu ikifka dec mwende kwenu jamani mnataka kututtesa janaury mpaka dec loh!!!

K wa mara nyingine nawapongeza kwa kujaza hii mikopo ya japan maana walikuwa wanahangaika sana wapi wataimwaga ila kwa ili mungu atowwaacha kwa rehema zenu

kwa kumalizi
SHIMBONYI MAI/MBE KANYI,HAPPY EASTER!!OTE HAPPY EID MUBARAK!!MBUTANA ,NGACHANGANYIKIO BANA!!OOHH HAPPYBIRTHDAYii WAI NGASUKO ULALU!! HAPPY CHAGGADAY!!CHA NGAMKUMBUO MALYA,MOSHI,MAKAWIA,LYIMO,MOSHA,NGULI NA WOSE ::MERRY XMASS N HAPPY NEW YR 2011

NACHO NAKUWIA NGIICHI KABISA

ULAKUCHA
 
Mkuu hii sio kweli wengi wamepaki magari yao kwa ajili kuepuka ajali za kijinga na kizembe.

Alafu foleni mbona kama kawa maeneo ya Morogoro road
 
Kama ningekuwa karibu na Mungu ningemwomba kilwa mwezi uwe December;;wapendwa sijui huko mbagala kimara ila wa huku maporini tegeta mwenge mpaka mjini barabara nswano kabisa
Hili lilinifanya kutafuta sababu maalum na kuakikishiwa na mmoja wa maofisa wapolisi barabarani anaependa sana kukaa pale morocco kwamba WACHAGA ndio walkuwa wakijaza magari yao

Kutokana na muda hu wa kuhesabiwa wengi wamefungia magari majumbani mwao na wengine kusemekana hata watoto awagusi maana funguo wameondoka nazo ..kwa kweli hili kwanza napenda
kuwapongeza mashemeji zangu kwa kuwa mlijiandaa kweli wakati mnakuja dar toka uru/marangu/rombo/kiraracha/kishumundu nk

Pili nawapongeza kwa kujali mila maana wengi wa waliobaki hapa nawahakikishia wazazi wao wanakufa maskini na njaa hata kwenda mbeya singida na mbaya zaidi wengine hapo morogoro naamini kwa hili mliobakia embu tuachieni wapogoro barabara zetu ikifka dec mwende kwenu jamani mnataka kututtesa janaury mpaka dec loh!!!

K wa mara nyingine nawapongeza kwa kujaza hii mikopo ya japan maana walikuwa wanahangaika sana wapi wataimwaga ila kwa ili mungu atowwaacha kwa rehema zenu

kwa kumalizi
SHIMBONYI MAI/MBE KANYI,HAPPY EASTER!!OTE HAPPY EID MUBARAK!!MBUTANA ,NGACHANGANYIKIO BANA!!OOHH HAPPYBIRTHDAYii WAI NGASUKO ULALU!! HAPPY CHAGGADAY!!CHA NGAMKUMBUO MALYA,MOSHI,MAKAWIA,LYIMO,MOSHA NA WOSE ::MERRY XMASS N HAPPY NEW YR 2011

NACHO NAKUWIA NGIICHI KABISA

ULAKUCHA
PURPLE: AMBAYO MINGI MVUA IKINYESHA...NAYO INACHAPA USINGIZI NA INAGOMA KUWAKA:teeth:
 
purple: Ambayo mingi mvua ikinyesha...nayo inachapa usingizi na inagoma kuwaka:teeth:

umeonaaaa eeehhhh

mkuu f80

nimesema kwa upande wetu wa porini tegeta mwenge mpaka posta
nyie wa morogoro yawezekana mmejaliwa na wahaya wengi uko awataki kurdi kwao sie wachaga kila baada ya nyumba now tunakula kuku mpaka january 5-10 kasheshe inaanza tena angalau sikukuu tunakula kwa umma...kuna chumba cha bur mwezi mmoja huku boko ukikipenda unalipia miezi 3 mitatu karibu uonje ladha hata usipopenda unakuwa ushapata mana tunayokula wenzako..
 
kwa kumalizi
SHIMBONYI MAI/MBE KANYI,HAPPY EASTER!!OTE HAPPY EID MUBARAK!!MBUTANA ,NGACHANGANYIKIO BANA!!OOHH HAPPYBIRTHDAYii WAI NGASUKO ULALU!! HAPPY CHAGGADAY!!CHA NGAMKUMBUO MALYA,MOSHI,MAKAWIA,LYIMO,MOSHA NA WOSE ::MERRY XMASS N HAPPY NEW YR 2011

NACHO NAKUWIA NGIICHI KABISA

ULAKUCHA

Oiyo ngiki uuta kunu mrini mpaka inu, enda kanyi undeirikira wasauyo, ulawashime wesa shayo, macha na msaki kwamba ngiwairikira
 
Hii mada imekaa kiutani utani lakini ina ukweli ndani yake siku mbili tatu foleni za magari zimepungua sana mjini nikajiuliza kulikoni pengine Pdidy katengua kitandawili.
 
oiyo ngiki uuta kunu mrini mpaka inu, enda kanyi undeirikira wasauyo, ulawashime wesa shayo, macha na msaki kwamba ngiwairikira

nukundi inyi ngiende kanyi alafu nungikapie mka oko ama nuore maana gan mbe kanyi..wahi ngimuwohi ngitafuta nauli ya mka naende amoyi afadhali nakapwe na wakwe kuliko vijana oooh mjini waore ngero wekusalua kila andu wahi aore mka ngilemkapa wanda mpka kachanganyikio kabisa..oooottteeee odemdede ngienda fo ulakusokichotarimo mbekanyi
 
hii mada imekaa kiutani utani lakini ina ukweli ndani yake siku mbili tatu foleni za magari zimepungua sana mjini nikajiuliza kulikoni pengine pdidy katengua kitandawili.

mi nafikiri soln dec twenden kwetu jamani tuachien wazaramo nchi yao
 
umeonaaaa eeehhhh

mkuu f80

nimesema kwa upande wetu wa porini tegeta mwenge mpaka posta nyie wa morogoro yawezekana mmejaliwa na wahaya wengi uko awataki kurdi kwao sie wachaga kila baada ya nyumba now tunakula kuku mpaka january 5-10 kasheshe inaanza tena angalau sikukuu tunakula kwa umma...kuna chumba cha bur mwezi mmoja huku boko ukikipenda unalipia miezi 3 mitatu karibu uonje ladha hata usipopenda unakuwa ushapata mana tunayokula wenzako..

Wachagga wengi wanaishi Kimara! so was hoping kwamba foleni yetu ya kuanzia Shekilango mpaka Kimara mwisho ingepungua kipindi hiki!

Nadhani foleni imepungua kwa sababu ya watoto kufunga shule - kama ilivyokuwa mwezi wa 6 -7!

Anyways kwa wale wachagga waliochukua uamuzi wa kwenda Milimani heshima sana na mkumbuke kutuletea Mbege japo boora moja!
 
Kama ningekuwa karibu na Mungu ningemwomba kilwa mwezi uwe December;;wapendwa sijui huko mbagala kimara ila wa huku maporini tegeta mwenge mpaka mjini barabara nswano kabisa
Hili lilinifanya kutafuta sababu maalum na kuakikishiwa na mmoja wa maofisa wapolisi barabarani anaependa sana kukaa pale morocco kwamba WACHAGA ndio walkuwa wakijaza magari yao

Kutokana na muda hu wa kuhesabiwa wengi wamefungia magari majumbani mwao na wengine kusemekana hata watoto awagusi maana funguo wameondoka nazo ..kwa kweli hili kwanza napenda
kuwapongeza mashemeji zangu kwa kuwa mlijiandaa kweli wakati mnakuja dar toka uru/marangu/rombo/kiraracha/kishumundu nk

Pili nawapongeza kwa kujali mila maana wengi wa waliobaki hapa nawahakikishia wazazi wao wanakufa maskini na njaa hata kwenda mbeya singida na mbaya zaidi wengine hapo morogoro naamini kwa hili mliobakia embu tuachieni wapogoro barabara zetu ikifka dec mwende kwenu jamani mnataka kututtesa janaury mpaka dec loh!!!

K wa mara nyingine nawapongeza kwa kujaza hii mikopo ya japan maana walikuwa wanahangaika sana wapi wataimwaga ila kwa ili mungu atowwaacha kwa rehema zenu

kwa kumalizi
SHIMBONYI MAI/MBE KANYI,HAPPY EASTER!!OTE HAPPY EID MUBARAK!!MBUTANA ,NGACHANGANYIKIO BANA!!OOHH HAPPYBIRTHDAYii WAI NGASUKO ULALU!! HAPPY CHAGGADAY!!CHA NGAMKUMBUO MALYA,MOSHI,MAKAWIA,LYIMO,MOSHA,NGULI NA WOSE ::MERRY XMASS N HAPPY NEW YR 2011

NACHO NAKUWIA NGIICHI KABISA

ULAKUCHA

mkuu kama ww sio mpare omba radhi hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom