Wabunge wetu na kutokuwa karibu na maisha halisi ya watanzania

Yombayomba

JF-Expert Member
Aug 23, 2006
818
214
Hebu tazameni hii picha ya hawa waheshimiwa wanatembelea miradi kijijini na kukutana na wanavijiji, hivi kweli hawana nguo zinazoendana na hali halisi ya mazingira wanayoenda kutembelea? natumaini juzi mliona picha ya ma seneta wa marekani walivyovaa walipoenda kukagua miradi inayofadhiliwa na nchi yao, walivaa kutokana na mazingira wanayokwenda, yaani wanavaa kama wanaenda kula bata majengoni? Hii ni kuonyesha hawako karibu na jamii wanayoiwakilisha.
 

Attachments

  • DSC03746.JPG
    DSC03746.JPG
    88.7 KB · Views: 94
Naona akina mama wametinga na vazi la maxi, na kama itabidi waingie kwenye majaruba ya mpunga au mazizi ya ngombe itakuwa kazi kwelikweli. Huyo wa mwanamme aliyeko mkono wa kulia naona ni kada wa CHADEMA, magwanda kwa kwenda mbele, au ni macho yangu???
 
Back
Top Bottom