Wabunge wapya wa Bunge lijalo hadi sasa

huyu jamaa nimemuona jana Azam tv kwenye pangapangua yuko vizuri and composed tofauti na wapinzani wake (hapa mgombea wangu wa ukawa utanisamehe) I can see another Filikunjombe on him!

Mkuu huyo ni UKAWA sijui husamehewe nn
 
Na hesabu itakuwa hivi;
35% ya 266 ni sawa na wabunge 93
na 65% ya 266 ni sawa na wabunge 173, huku kuna CHADEMA iliyosimamisha wagombea ubunge 130, CUF + NCCR - Mageuzi na NLD ni wagombea .....?

Au kati ya hao wabunge 173 wa UKAWA tuwagawe kwa 4 = wabunge 43 kila chama cha UKAWA....!

Lakin tukumbuke yafutayo;


  1. Lazima chama cha siasa kiwe pande zote za Muungani; Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.
  2. Atakayetangazwa ni ndio mshindi na hakutakuwepo na mtu yeyote au chombo chochote chenye mamlaka ya kuhoji au kuchunguza kuwa kwa nini aliyetangazwa ametangazwa au ameshindaje....! Na kwamba kufanya hivyo ni kinyume na katiba ya nchi...!
  3. Hakuna UKAWA, bali CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD
  4. CHADEMA haina wabunge kutoka Tanzania Visiwani...
  5. Kuna vyama vingine kama ACT, TLP, DP nk, ambavyo navyo vina uwezo wa kuwapata wabunge pia...! Je, hawa watapunguza upande gani?
Bado naona unaipa CCM ushindi....!

Salum Mwalimu-Kikwajuni Unguja
 
kwimba mansoor(ccm) sumve richard mganga ndassa (ccm) buchosa charles tizeba /ccm misungwi mawe matatu(kitwanga) ngeleja sengerema COMFIRMED
 
Nani kawapa mamlaka ya kuchagulia watu wabunge. Mnafanya tathmini kwa kutumia njia gani kujua anayeshinda wakati wengine hamjui hata majimbo yenyewe yalipo na hali ya kisiasa kwa kipindi hiki
 
Wengine ni:- Antony Peter Mavunde - Dodoma Mjini; George Boniface Simbachawene - Kibakwe; George Malima Lubeleje - Mpwapwa; Job Yustino Ndugai - Kongwa; Livingstone Joseph Lusinde - Mtera; Ahmed Shabiby - Gairo; Omar Ahmed Badwel - Bahi; Juma Selemani Nkamia - Chemba.

We uko wapi mpaka ujue wote hao
 
Nani kawapa mamlaka ya kuchagulia watu wabunge. Mnafanya tathmini kwa kutumia njia gani kujua anayeshinda wakati wengine hamjui hata majimbo yenyewe yalipo na hali ya kisiasa kwa kipindi hiki
 
Kigaila ni CDM
Nilipatwa na nini mpaka sikulijua hilo! au nimechanganya majina!huyu kigaila ni mwanasheria ?ninayemzungumzia alikuwa ni mwana sharia sijui jina lake nani na naombea awe wa ukawa jamaa yuko vizuri!
 
Back
Top Bottom