Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Zito ndio Raisi wa kigoma popote alipo wananchi wa kigoma tupo.

Hatuyumbishwi chadema na nccr tumewaachia watu wa kaskazini.

Tuliipokea vizuri nccr, tukaipokea vizuri chadema sasa tumechoka kuburuzwa,ni zamu ya chama cha ukombozi wa kweli,
ACT WAZALENDOOOOOOOOOO.
na lazima wote mpotee na hao wagombea wenu huna wa kuwapigia kura hao wanafiki
 
Kiingereza kibovu kabisa hicho nyie niwale mnaosoma 1-vi kwa miaka miwili Nn?

Bora hata wewe umeona mkuu,

Hapo katajwa machali na kafulila ila sasa sijui chadema, mbowe plus uchaga vinaingiaje hapo!

Machali, Kafulila ni wabunge kupitia NCCR MAGEUZI mwenyekiti wao ni James Mbatia au hata hili hamlijui kila thread mbowe chadema
 
Definetly! Kumuondoa zitto was suicidal! Cdm is no more. more to happen come October finale!
Kwa hicho ulichokiandika naomba nikuulize tu uchaguzi wa serikali za Mitaa ulifanyika Zitto akiwa CHADEMA? vipi matokeo yaliyopatikana je CHADEMA Mitaa, Vijiji na vitongoji ilivyokuwa ikiviongoza vilipungua au viliongezeka? ukipata jibu la haya maswali yangu utajielewa huko kundi gani na hiki ulichokiandika je ni sahihi au upuuzi.
 
Mosesi machali ni mnafiki sana,yeye ndie aliyesababisha kafulila kugombana na chama chake kabla ya kufikia makubaliano,lkn leo anahasi chama?kweli henreko nyerere alisema kitu na nanukuu kuna bilion 150 zimetengwa kwa nia kuvunja baadhi ya vyama
Bilioni 150 unaijua wewe au unaiona kwenye namba? Ushawahi kushika japo milioni tu ya kwako isio ya mkopo?
 
Definetly! Kumuondoa zitto was suicidal! Cdm is no more. more to happen come October finale!
Naomba nikukumbushe
Zitto wakati anagombea Ubunge Kigoma Kaskazini CHADEMA ilikuwa na Madiwani 11, alipogombea na kushinda wakabaki 6 alipogombea awamu ya pili 2010 wamebaki 2 ni vema ukawa na akili ya kuelewa kwa kuendana na Takwimu sio unakurupuka tu kishabiki kwa kumuona kuwa Zitto alikuwa muhimu ndani ya CHADEMA kumbe kiuhalisia sivyo.
 
Wakati Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikivuna maelfu ya wanachama wa chama tawala CCM, uku hali siyo shwari ndani ya NCCR - MAGEUZI chama ambacho kinaunda muungano wa UKAWA.

Ni jana tu aliyekuwa mbunge wa Kasulu mjini Moses Machali na Naibu katibu mkuu bara pamoja na aliyekuwa M/kiti wa Vijana Taifa Deo Meck walijiunga na ACT.

Leo imesemekana kuwa vigogo wengine wa chama hicho watakiama na kutimkia ACT vigogo hao ni mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila, Mkosamali Mbunge wa Muhambwe na Nicolas Clinton M/kiti wa vijana jimbo la Nyamagana Mwanza.
 
Back
Top Bottom