Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,093
Wabunge zaidi ya 20 walisimama kwa mujibu wa sheria lakini Jenista Muhagama akaandika majina na kutowapa nafasi, akitaraji kuwapa nafasi mwishoni! Cha ajabu hajui wanataka kuzungumzia nini. Wametoka nje ya ukumbi. Mbunge wa CUF mwanamama Mwituka na John M. Shibuda wa CHADEMA, Dr. Augustine Lyatonga Mrema wabaki ukumbini. Otherwise its all green
UPDATE:
waziri wa nchi atoa hoja ya kuongezwa kwa muda, ina maana kulikuwa na uwezekano wa kupuuzwa kwa wabunge wa upinzani kwa kigezo cha muda.
UPDATE:
waziri wa nchi atoa hoja ya kuongezwa kwa muda, ina maana kulikuwa na uwezekano wa kupuuzwa kwa wabunge wa upinzani kwa kigezo cha muda.