Wabunge wa chadema wametuonyesha njia sahihi

Arsene Dom

Member
Nov 21, 2010
10
0
ningependa kuwapongeza wabunge wa CHADEMA kwa uzalendo walioonyesha katika kutetea haki na usawa katika nchi hii . najua kutakuwa na maneno mengi ya kuwakatisha tamaa but keep on doing right things at the right time. i give special credits to mr MBOWE for his successful actions what to do now is to ignore fools like zitto kabbwe he might be a puppet
kilichobaki sasa tudai katiba mpya
najua watanzania tuna tabia ya uoga lakini CHADEMA wametuonyesha njia iliyo njema watanzania
tumechoka kutawaliwa tunataka kuongozwa
 
Back
Top Bottom