Wabunge wa ccm tuelezeni "wahindi wa rites" wameliingizia taifa hasara kiasi gani?

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,323
Nawauliza watanzania wenzangu, hivi mmefurahishwa na hasara waliotusababishia wahindi, a.k.a wawekezaji wa "RITES" kwenye reli yetu?
Nakumbuka wafanyakazi wa iliyokuwa TRC waliwakataa wale wahuni wa kihindi (walioindinishwa na CCM pale kitalani) kwa kutubainishia ubabaishaji wao. Vyama vya siasa vya upinzani vilipinga kwa hoja, ccm ikawazidi kwa makelele ya ndiooooooooooooooooooo, na hatimaye ccm wamethibitishiwa kuwa si wasikivu,
ccm tuambieni ndiooooooo yenu imetutia hasara kiasi gani na nini adhabu yenu?
 
Mimi hata nchi hii ikifikia kiwango cha kufilisika kabisa sitashangaa maana kila mtu ni mchumia tumbo.Kinachoniuma tu ni PPF yangu ambayo wanataka eti nifikishe 55 otherwise hayo mengine ni ya kupita tu tukitaka kujua hasara tunaweza kufa na PB maana hakuna mwekezaji ambae hajaiitia hasara nchi hii sema tu hasara zinatofautiana lkn kila mwekezaji ameliingizia taifa hili mabilioni ya hasara.Anzia NBC,Netgroup Solution,makampuni ya madini,makampuni ya uwindaji yote haya yanaiingiza serikali hasara. Simply because hakuna usimamamizi kila mtu akishakula 10% anawaacha hawa jamaa wafanye wanalolitaka hata wakiua raia ni sawa tu.Tusubiri siku ya kiama naamini jehanamu itakuwa na magrade hata kama biblia inasema kuwa jehanam ni moja mimi naamini tumefumbwa tu jehanamu ni moja lkn kuna grades
 
Hata wakitupa haitatusaidia wala hakuna watakachokifanya zaidi ya sisi kuendelea kuumia.hawana jipya hao wanaiba kila kukicha kwani hiyo ndio sera ya sisiemu.presure tu wanatupa
 
chenge mtemi mwenyekiti wa kamati ya fedha na uchumi wakati huo alikuwa waziri wa uchukuzi, akauza TTCL, na akahamia TRC leo mwenyekiti wa fedha, mtemi huyo.Liyemwanga unga mweupe bungeni, mzee wa visenti.Kwanini asitetewe na akina anna abdalah na wabunge wa viti maalum na spika?nchi yetu shamba la bibi ;Kwanza kabla ya kununua hisa za RITES walitakiwa kueleza kwann alishindwa?
 
Hata wakitupa haitatusaidia wala hakuna watakachokifanya zaidi ya sisi kuendelea kuumia.hawana jipya hao wanaiba kila kukicha kwani hiyo ndio sera ya sisiemu.presure tu wanatupa
Tumeliwa!!
 
Nawauliza watanzania wenzangu, hivi mmefurahishwa na hasara waliotusababishia wahindi, a.k.a wawekezaji wa "RITES" kwenye reli yetu?
Nakumbuka wafanyakazi wa iliyokuwa TRC waliwakataa wale wahuni wa kihindi (walioindinishwa na CCM pale kitalani) kwa kutubainishia ubabaishaji wao. Vyama vya siasa vya upinzani vilipinga kwa hoja, ccm ikawazidi kwa makelele ya ndiooooooooooooooooooo, na hatimaye ccm wamethibitishiwa kuwa si wasikivu,
ccm tuambieni ndiooooooo yenu imetutia hasara kiasi gani na nini adhabu yenu?
Hivi majibu walikupa ?
 
Mimi hata nchi hii ikifikia kiwango cha kufilisika kabisa sitashangaa maana kila mtu ni mchumia tumbo.Kinachoniuma tu ni PPF yangu ambayo wanataka eti nifikishe 55 otherwise hayo mengine ni ya kupita tu tukitaka kujua hasara tunaweza kufa na PB maana hakuna mwekezaji ambae hajaiitia hasara nchi hii sema tu hasara zinatofautiana lkn kila mwekezaji ameliingizia taifa hili mabilioni ya hasara.Anzia NBC,Netgroup Solution,makampuni ya madini,makampuni ya uwindaji yote haya yanaiingiza serikali hasara. Simply because hakuna usimamamizi kila mtu akishakula 10% anawaacha hawa jamaa wafanye wanalolitaka hata wakiua raia ni sawa tu.Tusubiri siku ya kiama naamini jehanamu itakuwa na magrade hata kama biblia inasema kuwa jehanam ni moja mimi naamini tumefumbwa tu jehanamu ni moja lkn kuna grades

Duu mkuu hili hitimisho lako la jehanamu limeniacha hoi. Siku ya hukumu ni kwa kila binadamu. Je ww utakuwa msafi kiasi gani mpaka upate muda wa kufuatilia hao wanasiasa wakihukumiwa? Kumbuka hakutakuwa na hukumu ya makundi maalumu bali kila mmoja kivyake. Na ukikuta wametubu na kusamehewa utafanyaje? halafu unakuta ww ndio unaenda motoni kwa kutafuna wake za watu.
 
Nawauliza watanzania wenzangu, hivi mmefurahishwa na hasara waliotusababishia wahindi, a.k.a wawekezaji wa "RITES" kwenye reli yetu?
Nakumbuka wafanyakazi wa iliyokuwa TRC waliwakataa wale wahuni wa kihindi (walioindinishwa na CCM pale kitalani) kwa kutubainishia ubabaishaji wao. Vyama vya siasa vya upinzani vilipinga kwa hoja, ccm ikawazidi kwa makelele ya ndiooooooooooooooooooo, na hatimaye ccm wamethibitishiwa kuwa si wasikivu,
ccm tuambieni ndiooooooo yenu imetutia hasara kiasi gani na nini adhabu yenu?

Mkuu kachunguze tena hakuna cha wahindi hapo, hao walikuwa ni Proxy tu, wenyewe wapo humu humu Bogo, ni wale wale wamiliki wa viwnada vyetu vya sukari na ni wale wazee wa kiwira.
 
Back
Top Bottom