Wabunge wa CCM na upitishaji mikataba kuwakomoa wapinzani ni janga la taifa

Ungesema walipitisha mikataba awamu zilizopita kujipatie mafedha...ungegusa haswa.

Na wa upinzani wengine walihusika, ingawa walipiga kelele kujisafisha. Ila hakuna linalojificha chini ya jua...

Mkulu kagusia jana pia hayo
Moinzani yupi alihusika.. nimefuatilia vikao vya bunge vingi sana. Mostly wabunge wa ccm walikuwa wanapitisha mambo kwa uchama zaidi.

Hasara yake ndio hii..
 
Mikataba ya MANGUNGO na wajerumani tulimsamehe. Hakujua kusoma wala kuandika, japo inadaiwa alipokea hongo zikiwemo shanga. Na historia hujirudia. Mangungo wa leo ni wasomi lakini waroho. Mikataba ya enzi hii inayopitishwa na watawala wa leo, kizazi kijacho hakiwasamehe kamwe.
 
Uyo baba Bashite alikua mbunge na alipiga makofi na kugonga meza hii mikataba ipite usiwape lawama wengine wakati yeye hakusimama kupinga akiwa mbunge hakika na yeye alikuwepo wakati wanatoboa hili jahazi ila leo ndio anataka ushujaa wa kuziba tundu wakati maji yamejaa chomboni na tumeshawapoteza baadhi ya wenzetu.
 
Mkuu USIMTENGE Rais na uvundo uliofanyika kwenye Mikataba ya Madini..

Amekuwa Mbunge kwa karibu Miaka 20 na Waziri kwa karibu Miaka 15..

Haya madudu ya kwenye mikataba yalivyokuwa yanapitishwa kwenye cabinet alikuwepo..

Mle bungeni amegonga meza sana tu hii mikataba ilivyokuwa inapitishwa na wakina Lissu walivyokuwa wanapiga kelele.

He is part and parcel kwa madudu yote yaliyofanyika.

Don't sympathise na sura anayokuonyesha hivi sasa.
Hayo anayajua sana ndio maana anaanzia mbal sana subr atatoanuqeO mwngne
 
Kwa mhasibu ni vzr sn kuwa na mkaguzi wa mara kwa mara anakufanya kuwa salama kuliko kutokaguliwa haya yatawagharimu mawaziri wetu kupitisha sheria kwa haraka za kifisadi mwisho zinawagharimu wenzenu MUHONGO KAPONZWA NA NDIYOOOOOOOH
 
Watanzania wenzangu mtakubaliana nami mateso anayoyapasa Mh. Rais Magufuli ni tabia ya Viongozi wa CCM Kwa kushikiana na Wabunge wa CCM kukubali kupitisha Mikataba iliyoandaliwa Kimkakata ili kuwanufaisha wachache ambao Leo Rais anahangaika nao. Wapinzani wamekuwa wakipinga sana lakini viongozi wa CCM Na Serikali wamekuwa wanawaagiza Wabunge wake wapitishishe mikataba. Mh. Rais kuna mikataba mingi ambayo Wabunge wa CCM walitumia uwingi wao kuipitisha. Baadhi ya mikataba ni kama ya;
1.Gesi
2. Madini
3.Mlimani city
4.Uwekezaji Oysterbay Polisi
5.Lugumi
6.Loliondo kitalu cha mfalme

N.k.
Tunakuomba itisha mikataba hiyo ni michafu.
Naomba nikukumbushe kuwa miaka miwili iliyopita, huyo unayesema anapata shida alikuwa sehemu ya wabunge hao hao akifanya hivyo hivyo. CCM ni janga.
 
Mkuu USIMTENGE Rais na uvundo uliofanyika kwenye Mikataba ya Madini..

Amekuwa Mbunge kwa karibu Miaka 20 na Waziri kwa karibu Miaka 15..

Haya madudu ya kwenye mikataba yalivyokuwa yanapitishwa kwenye cabinet alikuwepo..

Mle bungeni amegonga meza sana tu hii mikataba ilivyokuwa inapitishwa na wakina Lissu walivyokuwa wanapiga kelele.

He is part and parcel kwa madudu yote yaliyofanyika.

Don't sympathise na sura anayokuonyesha hivi sasa.
Kabisa
 
Just a little while only time will tell, tunaomba na tume nyingine iundwe kuchunguza uuzwaji wa nyumba za serikali na Viwanja vyake
 
Back
Top Bottom