Wabunge CCM na CUF Zanzibar kukutana

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Leo baada ya Kikao cha Bunge, Ndugai alitangaza kwamba kutakuwa na Kikao kati ya Wabunge wa CCM na CUF Zanzibar, nadhani watakuwa na kikao cha Kupongezana na kuweka Mikakati ya pamoja
 
Tuwaache wakutane na wajadili mstakabali wa ndoa yao. Wana mambo mengi ya kujadili ila jambo moja Watanganyika lazima tulijue kuwa Wazanzibari wana nchi yao lakini wanakuja huku kwenye bunge la jamhuri kwa maslahi ya kututawala Watanganyika. Uwakilishi wao katika bunge la jamhuri hautusaidii chochote kama Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali kutuletea usanii tu. Iweje watu wajitungie katiba yao na kutamka kuwa Zanzibar ni nchi yenye mipaka yake na rais wake kama kiongozi wa nchi bado tuwe nao katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Wanamwakilisha nani katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania?
 
Wanatafuta mbinu za kuwanyonga Chadema na kujiandaa kwa propaganda kwamba eti kubadilisha kwao katiba na mwafaka yalikuwa ni matakwa ya wananchi wao mbona hawakuwahusisha wabunge wa Chadema kutoka Zanzibar
 
Tuwaache wakutane na wajadili mstakabali wa ndoa yao. Wana mambo mengi ya kujadili ila jambo moja Watanganyika lazima tulijue kuwa Wazanzibari wana nchi yao lakini wanakuja huku kwenye bunge la jamhuri kwa maslahi ya kututawala Watanganyika. Uwakilishi wao katika bunge la jamhuri hautusaidii chochote kama Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali kutuletea usanii tu. Iweje watu wajitungie katiba yao na kutamka kuwa Zanzibar ni nchi yenye mipaka yake na rais wake kama kiongozi wa nchi bado tuwe nao katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Wanamwakilisha nani katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania?

Mkuu,
Tusiwalaumu wazanzibari, tuwalaumu wabunge wetu wa Tanganyika.
Wazanzibari wanashiriki bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar(Tanzania). sio bunge la Tanganyika.

Pia viongozi wa serikali ya TZ ndio wanaoshika mpini, kuanzia mwalimu na wao ndio walioifuta Tanganyika na Bunge la Tanganyika. Lawama tunazielekeza ambako hakustahili.

Ije G55 model nyengine ya kudai Tanganyika yetu na hapo matattizo yetu yatapungua, tutapata serikali ya Tanganyika na bunge la Tanganyika na kama huu Muungano tutaendelea nao basi tutakuwa na bunge dogo tu la Muungano, hata mambo ya muungano tunaweza kuyarejesha yale 11 ya awali.

wakati wazanzibari wakipiga kelele kuhusu muungano sisi bado tulikuwa tunapiga usingizi..wao wametusaidia kuamka sasa tudai Tanganyika yetu, kutoka kwa wabunge wetu na watawala wetu. Pia tutakuwa tumewasaidia wazanzibari kuwa na nchi yao huru.
 
Waendelee na mazungumzo ya ndoa yao ila badae wakizaa mtoto haramu wasilalamike, maana kitanda hakizai haramu
 
Tuwaache wakutane na wajadili mstakabali wa ndoa yao. Wana mambo mengi ya kujadili ila jambo moja Watanganyika lazima tulijue kuwa Wazanzibari wana nchi yao lakini wanakuja huku kwenye bunge la jamhuri kwa maslahi ya kututawala Watanganyika. Uwakilishi wao katika bunge la jamhuri hautusaidii chochote kama Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali kutuletea usanii tu. Iweje watu wajitungie katiba yao na kutamka kuwa Zanzibar ni nchi yenye mipaka yake na rais wake kama kiongozi wa nchi bado tuwe nao katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Wanamwakilisha nani katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania?

Ni kimbelembele cha yule Hayati anaeitwa Baba wa TAIFA kuomba kuungana na Marehemu Abeid A. Karume! sasa wache Wazanzibari watukune vichwa sawasawa! walikuwa na nchi yao huru na yenye maendeleo makubwa kuliko nchi yoyote ktk afrika Mashariki na kati! Nyerere alipeleka jeshi la mamluki kupindua Serikali halali ya Zanzibar na kuwaomba kuungana sasa tunaanza kuonja uovu alioufanya mzee huyo!
 
Dah, Hivi zubeda maana yake ni nini :twitch:
 
wapumbavu wakubwa hao wao pamoja na vizazi vyao, wakutane salama kama ni chabo watapigwa tu!
 
wel, there is a need to ask our beloved country Tanganyika to be returned. We nee liberation and independence.
Tuwaache wakutane na wajadili mstakabali wa ndoa yao. Wana mambo mengi ya kujadili ila jambo moja Watanganyika lazima tulijue kuwa Wazanzibari wana nchi yao lakini wanakuja huku kwenye bunge la jamhuri kwa maslahi ya kututawala Watanganyika. Uwakilishi wao katika bunge la jamhuri hautusaidii chochote kama Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali kutuletea usanii tu. Iweje watu wajitungie katiba yao na kutamka kuwa Zanzibar ni nchi yenye mipaka yake na rais wake kama kiongozi wa nchi bado tuwe nao katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Wanamwakilisha nani katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom