Ni kutokana na maswali waliyouliza na michango bungeni hadiMkutano wa 19 mapema mwezi huu.
Wabunge waliochangia zaidi 2010-2015:
1. John J. Mnyika 2. Tundu Lissu 3.Moses Machali 4. Murtaza Mangungu 5. Diana Chilolo 6. Leticia Nyerere 7. Halima Mdee 8. Felix Mkosamali 9. Zitto Kabwe 10. Selemani Jaffo
Mukulu, Hoja si kuchangia mara nyingi au mara ngapi.
BALI HOJA IWE ALIYECHANGIA AMECHANGIA NINI AU KUNA MSHINDO GANI KATIKA KUCHANGIA KWAKE.
MFANO: Mbunge wa Nkansi Mhe Ally Keisi ambaye anapochangia ukumbi hunusurika kugeuka uwanja wa ngumi na yeye hulazimisha walinzi kumtoa kupitia mlango wa nyuma na askari wa Bunge kumsindikza . Watu hupandwa jazba,........ lakini ANAYOSEMA YANA UKWELI FULANI NDANI YAKE!