Wabongo tunapenda kwenda na wakati, tuige na hii!!

bwaksi, fanya hima nipe hiyo namba nikajionee kwa ziro distansi.

Tehe tehe tehe!! Mi mwenyewe uzalendo unaanza kunishinda. Hebu tafuta tafuta mitaani kifaa inayofanana na hii. Hii niachieni
 
Si bora angevua kabisa akatembea bila nguo kabisa????. Vikundi vya kutetea haki za akina mama huwa vinakuwa wapi watu kama hawa wanapowadhalilisha akina mama??? Sasa hapo akibakwa atasema kaonewa au yeye amewakaribisha wabakaji???
Huyo habakwi Mkuu.
 
oooh noo wallah mimi mambo kama haya huwa sipendi hata kucomment ntawasoma tuu watu then natoka lakini humu nimecoment kuna mtu nilimjibu na oia ilikuwa ni nje ya topic ndio mana umeniona... i will always be as i am... no one can change me my dear but only allah...
ila unaanza kubadilika. ulipoingia humu ulikuwa mtoto mzuri, jf wameshakuchakachua. yaani unaunga mkono uvaaji huu!
 
hahahahha kazi ipo hapo...mambo ya mjini hayo...iga dada wakibongo uone utamu wa mjanaume ya kibongo kama hawajakubaka
 
Back
Top Bottom