Wabeba maboksi wa Ulaya wakijishaua wakati kwao Afrika wamesahau hata kujenga banda la makuti. Loohh! majangaaa hayo

Duh nitarudi baadaye , mzee sio wote tulioko huku tunabeba boksi tuliokuja kwa minajili maalum huwezi kuoa upuusi tunapiga kazi na bata tunakula na makwetu kuko bien, kama mimi najiandaa kuja kununua mijengo yoote ile aliyoacha jiwe na kukimbilia Dodoma nina kazi nayo sana tu baadaye mtakuja kunielewa
 
"Hatuishi kama tumetumwa Hela sisi"

"Sisi tunaishi kama tumekuja kuishi tumalize Maisha tufe, hatuishi tumetumwa Pesa ahaa, no tunaishi tunajiachia tu, kufa time yoyote tunakufa halafu unaacha Mali wajinga ndio, bora ukiacha haya mtu atavaa vitakufa, ndio hivyo"

"Hmmm ncheeee, Wanyamwezi BABU tunaishi kikweli, Yeah"

"I am MKALI, a.k.a BRITISH"
 
UJINGA NI MZIGO. IS HERI MGEPIGA HATA KITABU. HATA VIATU, VIPODOZI NA USAFIRI WENU WA TRENI MNARINGISHIA WENZENU! Du kama mkimiliki hata pipers ndogo za watu wa nne itakuwaje? Hawa ni wajalaana wanaoishi ulaya kwa kutegemea fedha za kupewa za kusaidiwa na serikali wengi huita welfare.

Pia ni washamba na limbukeni wa kawaida ambao hata huko hawana bao. Nadhani hivyo viatu wengi wananunua kwenye thrift stores ambazo nazo ni mitumba ya kawaida. Shame on them.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom