Waarabu mifumo yenu ya maisha itawafanya Israel waendelee kuwatandika miaka 1000 mbele

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Yaani mimi na wewe hadi kichanga mpaka tunakufa hakuna mtu atashuhudia Israel ikisumbuliwa na Mwarabu yoyote pale mtaendelea kutandikwa kama hamtokuwa na heshima mkubali mkatae Wayahudi ni watu waliobarikiwa sana akili

Kwenye sayansi ambayo imevumbua vitu vingi ambavyo hadi leo hii wote tunanufaika ikiwemo mitambo, Mifumo ya mawasiliano Satelite,Internet ni hao hao wayahudi

Saudi Arabia kitovu cha uislam inalindwa na mifumo ya hao wayahudi, Kila kukicha Saudi ananunua silaha za wamarekani kujilinda, Uvumbuzi wa mafuta pale saudi hadi mitambo ya kuchimba na teknolojia ni mifumo ya wayahudi yaani wale ni kama maji hutaki utayanywa unataka utakunywa tu

Mitandao kama facebook,Insta,Whatsapp wavumbuzi ni wayahudi, Kuna watu hapa ukiwakataza kutumia hii mitandao wanaumwa ila wakiamka asubuhi wanakwambia myahudi kafiri, kafiri unatakiwa uache kutumia kila alichokivumbua ili uwe na msimamo

Kwenye Uvumbuzi wa madawa hadi sasa vinara ni wazungu wenye asili ya kiyahudi,Madawa kama antibiotics,Dawa za kuzia magonjwa mazito yaliyoisumbua Dunia wavumbuzi ni wayahudi na dawa zao mnabugia wale ni kama maji tu hutaki utakunywa usipotaka utakunywa

Waarabu wamewkeza sana kwenye kusambaza elimu ya Dini kuliko elimu Ya uvumbuzi na ndio maana sehem
Walizotawala waaarabu hakuna cha maana ila alipopita mzungu ushahidi mnao, sasa unawekeza kwenye Dini elimu dunia mmeikacha alafu ni wachokozi mnamshambulia mtu alafu akilpa kisasi mnasema mnaonewa

Mmeilipua istrael
Kwa makombora mkauwa watu 1400, mpakani mwa Israel mkavunja fensi mkaingia mkachoma watoto kwa halaiki yaani watoto wamekutwa kama ndafu, Na bada ya hilo tukio Palestina yote ikawa inashangilia ushindi, Wale mateka wakati wanaingizwa gaza ilionekana wananchi wanawashambulia kwa kipigo huku wakishangilia

Sasa Israel kaanza kuwatandika mnampangia pa kupiga nyie wakati mnauwa mlizipiga kambi za Israel?

Inandelea
 
Yaani mimi na wewe hadi kichanga mpaka tunakufa hakuna mtu atashuhudia Israel ikisumbuliwa na Mwarabu yoyote pale mtaendelea kutandikwa kama hamtokuwa na heshima mkubali mkatae Wayahudi ni watu waliobarikiwa sana akili...

Huo ndio ukweli,subiri waje wafuasi wa mudi waanze kukushambulia.

Huku wanatumia smarphone za ugunduzi wa wayahudi,wao walichogundua zaidi ni kanzu na nikabu.
 
Yaani mimi na wewe hadi kichanga mpaka tunakufa hakuna mtu atashuhudia Israel ikisumbuliwa na Mwarabu yoyote pale mtaendelea kutandikwa kama hamtokuwa na heshima mkubali mkatae Wayahudi ni watu waliobarikiwa sana akil...
Kamba, mfano huo Uchumi wa Mafuta father wa huo Uchumi anaitwa Ibrahim Oweiss Proffesor wa Egpty na Mkufunzi WA chuo cha George Washington, alikua Mwalimu wa Bill Clinton na pia Mshauri wa Aliekua Raisi wa Marekani Carter. Al jazeera wana documentary yake ndefu tu kasome.

Na Ingekua Mafuta ni rahisi kuchimba na kutajirika kwanini watajirike wao tu na si Venezuela, Nigeria, Angola, Brazil, Kazakhstan, Colombia etc.

Kuna Wavumbuzi wengi hapo Middle East pia.
 
Utakuta haiwataki Marekani lkn hao hao waislamu na waarabu wanaoichukia Marekani
Wanatumia vidonge vya ARV vya Marekani.
Siku Marekani ikisema haitoi vidonge kwa waarabu wanaanza maandamano wakilaumu inachuki na uislamu
Hii ni mentality yako wewe masikini ambayo maana ya Maisha ni kuzaliwa, kula, kulala na kutafuta upande wenye nguvu kushabikia

Kampuni tatu Tajiri zaidi duniani ni
1. APPLE
2. MICROSOFT
3. SAUDI Aramco

Kati ya hizo 3 mbili imetengenezwa na waarabu, Aramco Saudia na Apple Mwarabu wa Syria Steve Job.

Hapo Marekani hairuhusiwi sensa Mwarabu kuitwa Mwarabu anasajiliwa tu kama Mzungu kuficha akili ndogo kama wewe usijue watu kama Carlos slim, Steve Jobs, kin hayek etc
 
Ukienda Singida kila mtaa una msikiti ila hakuna hata shule moja au hata zahanati wamejenga na kila mtaa wanahakikisha upo msikiti.
Kupata maendeleo hawa jamaa itawachukua miaka mingi sana.
Baadae wanakaa Timamu Tv wakijadili wakristo wanapokea hela nyingi sana kwenye hospital zao
Inafikirisha sana
 
Yaani mimi na wewe hadi kichanga mpaka tunakufa hakuna mtu atashuhudia Israel ikisumbuliwa na Mwarabu yoyote pale mtaendelea kutandikwa kama hamtokuwa na heshima mkubali mkatae Wayahudi ni watu waliobarikiwa sana akili

Kwenye sayansi ambayo imevumbua vitu vingi ambavyo hadi leo hii wote tunanufaika ikiwemo mitambo, Mifumo ya mawasiliano Satelite,Internet ni hao hao wayahudi

Saudi Arabia kitovu cha uislam inalindwa na mifumo ya hao wayahudi, Kila kukicha Saudi ananunua silaha za wamarekani kujilinda, Uvumbuzi wa mafuta pale saudi hadi mitambo ya kuchimba na teknolojia ni mifumo ya wayahudi yaani wale ni kama maji hutaki utayanywa unataka utakunywa tu

Mitandao kama facebook,Insta,Whatsapp wavumbuzi ni wayahudi, Kuna watu hapa ukiwakataza kutumia hii mitandao wanaumwa ila wakiamka asubuhi wanakwambia myahudi kafiri, kafiri unatakiwa uache kutumia kila alichokivumbua ili uwe na msimamo

Kwenye Uvumbuzi wa madawa hadi sasa vinara ni wazungu wenye asili ya kiyahudi,Madawa kama antibiotics,Dawa za kuzia magonjwa mazito yaliyoisumbua Dunia wavumbuzi ni wayahudi na dawa zao mnabugia wale ni kama maji tu hutaki utakunywa usipotaka utakunywa

Waarabu wamewkeza sana kwenye kusambaza elimu ya Dini kuliko elimu Ya uvumbuzi na ndio maana sehem
Walizotawala waaarabu hakuna cha maana ila alipopita mzungu ushahidi mnao, sasa unawekeza kwenye Dini elimu dunia mmeikacha alafu ni wachokozi mnamshambulia mtu alafu akilpa kisasi mnasema mnaonewa

Mmeilipua istrael
Kwa makombora mkauwa watu 1400, mpakani mwa Israel mkavunja fensi mkaingia mkachoma watoto kwa halaiki yaani watoto wamekutwa kama ndafu, Na bada ya hilo tukio Palestina yote ikawa inashangilia ushindi, Wale mateka wakati wanaingizwa gaza ilionekana wananchi wanawashambulia kwa kipigo huku wakishangilia

Sasa Israel kaanza kuwatandika mnampangia pa kupiga nyie wakati mnauwa mlizipiga kambi za Israel?

Inandelea
M0aka wasemeee
 
Huyo steve job unyama aliupata kwa wazungu angesalia hapo syria msingemjua yule sio
Mwarabu
Ingekua warabu wakienda Usa pekee wanakuwa matajiri sawa ungesema ni sababu ya wazungu, ila wapo Dunia nzima na kote ni Matajiri hapo napo pia ni sababu ya wazungu? Nigeria jamaa anaemfukuzia Dangote ni Mwarabu Chagoury, ukienda Egpty kuna kina Sawaris wanamiliki hadi Adidas na Aston Villa, ukienda Mexico unakutana na Carlos Slim, Ukienda Brazil unakutana na Safra, Ukienda Uingereza unakutana na Al Fayed, uswis, Ufaransa, na Karibia kila Nchi ya Ulaya unakutana na Mabilionea waarabu, South America hadi Africa wamejaa kibao huko vipi nako?
 
Uislamu na ujinga ni kitu kimoja
Uisilamu ni shortcut ya kupambana na UMASIKINI,

Hao Palestina wanaopigwa kila siku wanafungiwa na Kuuliwa hawana UMASIKINI wa kutupwa Gdp per capita yao inalingana na Nchi tajiri za Africa.

Nchi masikini za kiisilamu ni Yemen na Afghanistan tu na zenyewe zina Vita, Nchi zote za kiisilamu zimejikwamua kiuchumi kuanzia Za huku kwetu Africa hadi za Asia ya Mbali kama Malyasia, Brunei na Indonesia.
 
Niturud hapa kuwaeleza vitu ambvyo waarabu wamegundua.....mtashangaa nawaambia...
 
Mzungu ndio mambo yote. Huyo myahudi yeye ni kwenye mifumo ya pesa. Mwarabu ni mjinga wa pili kutoka chini akifuatiwa na mtu mweusi...japo ukiniwekea kuwa mweusi au mwarabu bora niwe mwarabu. Mtu mweusi sio mtu kamili
 
Yaani mimi na wewe hadi kichanga mpaka tunakufa hakuna mtu atashuhudia Israel ikisumbuliwa na Mwarabu yoyote pale mtaendelea kutandikwa kama hamtokuwa na heshima mkubali mkatae Wayahudi ni watu waliobarikiwa sana akili

Kwenye sayansi ambayo imevumbua vitu vingi ambavyo hadi leo hii wote tunanufaika ikiwemo mitambo, Mifumo ya mawasiliano Satelite,Internet ni hao hao wayahudi

Saudi Arabia kitovu cha uislam inalindwa na mifumo ya hao wayahudi, Kila kukicha Saudi ananunua silaha za wamarekani kujilinda, Uvumbuzi wa mafuta pale saudi hadi mitambo ya kuchimba na teknolojia ni mifumo ya wayahudi yaani wale ni kama maji hutaki utayanywa unataka utakunywa tu

Mitandao kama facebook,Insta,Whatsapp wavumbuzi ni wayahudi, Kuna watu hapa ukiwakataza kutumia hii mitandao wanaumwa ila wakiamka asubuhi wanakwambia myahudi kafiri, kafiri unatakiwa uache kutumia kila alichokivumbua ili uwe na msimamo

Kwenye Uvumbuzi wa madawa hadi sasa vinara ni wazungu wenye asili ya kiyahudi,Madawa kama antibiotics,Dawa za kuzia magonjwa mazito yaliyoisumbua Dunia wavumbuzi ni wayahudi na dawa zao mnabugia wale ni kama maji tu hutaki utakunywa usipotaka utakunywa

Waarabu wamewkeza sana kwenye kusambaza elimu ya Dini kuliko elimu Ya uvumbuzi na ndio maana sehem
Walizotawala waaarabu hakuna cha maana ila alipopita mzungu ushahidi mnao, sasa unawekeza kwenye Dini elimu dunia mmeikacha alafu ni wachokozi mnamshambulia mtu alafu akilpa kisasi mnasema mnaonewa

Mmeilipua istrael
Kwa makombora mkauwa watu 1400, mpakani mwa Israel mkavunja fensi mkaingia mkachoma watoto kwa halaiki yaani watoto wamekutwa kama ndafu, Na bada ya hilo tukio Palestina yote ikawa inashangilia ushindi, Wale mateka wakati wanaingizwa gaza ilionekana wananchi wanawashambulia kwa kipigo huku wakishangilia

Sasa Israel kaanza kuwatandika mnampangia pa kupiga nyie wakati mnauwa mlizipiga kambi za Israel?

Inandelea
Historia ya kanisani isiyokuwa na ukweli wowote.Nakupa changamoto nitajie kitu unachoona ni kikubwa katika maendeleo ya dunia na teknolojia nikutajie mvumbuzi wake wa asili.
Mayahudi wamesomeshwa na waislamu na wameendeleza taaluma halafu wamekuwa jeuri.Uvumbuzi halisi ulianza na waislamu uliochochewa na kushuka kwa Qur'an ambayo ni wahyi wa Allah.
 
Back
Top Bottom