Waangalizi wa Umoja wa Ulaya wadai Uchaguzi wa Zimbabwe sio Huru na Haki

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1693029149424.png

Kupitia ripoti yao, Waangalizi kutoka Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) wamesema Uchaguzi huo ulikuwa na Uminyaji wa Haki, Ukosefu wa Fursa Sawa na Mazingira Magumu kwa Wapiga Kura.

EU EOM imeongeza kuwa kulikuwa na ukamataji wa kutumia nguvu wa Waangalizi 39 wa Mashirika ya Kiraia ambao walitumia haki zao za Kikatiba kwa Kujumlisha Matokeo ya Uchaguzi na Walifikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuingilia Uchaguzi.

Matokeo ya awali yanayoendelea kutangazwa yanaonesha Chama Tawala kinachoongozwa na Rais Mnangagwa (ZANU PF) kinaongoza kwa idadi ya Kura kikiwa na Viti 101 vya Wabunge, huku upinzani ukifuatia kwa Viti 59 kati ya 210.

============

Foreign poll observers on Friday said Zimbabwe’s Wednesday presidential and legislative elections failed to conform to the democratic principles, even as vote counting continued.

The Southern African country held chaotic elections on Wednesday, which spilled to the next day due to late printing of ballot papers for polling stations in some wards in opposition strongholds.

Voting started late in a number of polling stations after voting materials were delivered late and people voted late into the night on the first day.

Preliminary results are showing a close contest between the ruling Zanu-PF and the main opposition Citizen Coalition for Change (CCC).

Most observer missions noted that although the elections were generally peaceful, the electoral processes did not meet international standards.

The East AfricanNewsRest Of Africa
Foreign observers say Zimbabwe poll not free and fair
SATURDAY AUGUST 26 2023

eu eom
Chief Observer Fabio Massimo Castaldo (C) of the European Union Election Observation Mission in Zimbabwe addresses a press conference in Harare, Zimbabwe on August 25, 2023. PHOTO | JOHN WESSELS | AFP

By KITSEPILE NYATHI
More by this Author

Foreign poll observers on Friday said Zimbabwe’s Wednesday presidential and legislative elections failed to conform to the democratic principles, even as vote counting continued.

The Southern African country held chaotic elections on Wednesday, which spilled to the next day due to late printing of ballot papers for polling stations in some wards in opposition strongholds.

Voting started late in a number of polling stations after voting materials were delivered late and people voted late into the night on the first day.

Preliminary results are showing a close contest between the ruling Zanu-PF and the main opposition Citizen Coalition for Change (CCC).

Most observer missions noted that although the elections were generally peaceful, the electoral processes did not meet international standards.

Zimbabwe ‘slows down’ internet as voting begins
In its preliminary report, the European Union Observation Mission (EU EOM) said “curtailed rights and lack of level playing field led to an environment that was not always conducive to voters making a free and informed choice in Zimbabwe’s elections.”

“The passing of regressive legal provisions and acts of violence and intimidation resulted in a climate of fear,” said EU EOM chief observer Fabio Massimo Castaldo.

“The violent arrest of members of accredited citizen observer organisations (Zimbabwe Election Support Network) ZESN and (Election Resource Centre) ERC, who exercised their constitutional rights, on 23 August, is of great concern.

“Both organisations are credible and respected human rights defenders.”

Thirty-nine monitors employed by ZESN and ERC were arrested on August 23 for running a parallel results tabulation exercise.
 
Hao wanasema hivyo kwakuwa hajashinda kibaraka wao ili wamtumie kuiba mali za Zimbabwe kama wanavyoiba mataifa mengine.
 
Kura ya maoni Scotland kujitoa UK iliingiliwa na shirika la kijasusi mi 6,walionyang'anywa mashamba na Mugabe ni waingereza,madarakani yupo mwanagenzi wa Mugabe,EU hawawezi aminika
 
Hao wanasema hivyo kwakuwa hajashinda kibaraka wao ili wamtumie kuiba mali za Zimbabwe kama wanavyoiba mataifa mengine.
Wengine mna akili za kujitawaza tu hata ule uchaguzi wa akina Magufuli wa mwaka 2020 waliupinga lkn bado labda uliongea hivyo hivyo.

Afrika wajinga bado wengi na ndio maana maendeleo hayawezi kupatikana.
 
Back
Top Bottom