Waalimu Waliopangwa kigoma vijijini

TASLIMU

Senior Member
May 6, 2011
144
21
Kwa wale wenye shahada,Stashahada,astashahada(msingi) mnakaribishwa NYARUBANDA HIGH SCHOOL,
1.tuna olevel na alevel
2.pia kuna shule ya msingi
3.barabara rami tu,mwendo wa nusu saa kutoka town to sites(nyarubanda)magar yetu n Noha na tax,
4.wenyej wa hapa wanalima kahawa na ndiz(zipo nyingi sana)
5.matunda meng sana,mananasi,parachichi,
6.mboga za majani nyingi tu,njegere fungu miambili,viaz vitamu,mviringo kipindi cha msimu,
7.mchele@1800,unga@1000,mafuta ya taa@2800,sukar@2700,
8.nyumba za shule zimebaki 4
9.umeme upo katika nyumba zote(usiku)
10.mwambie na mwenzako
SASA HIVI TUPO GRADUATE 5,Wa3 tupo tokea 2009,mmoja2010,mmoja headmaster(babu)amehamia disemba mwaka jana
,Njoo na blanket,sweta
 
Mkuu TASLIMU nikuulize kidogo je tukifika Halimashauri tunaripoti kwa DED au Afisa Elimu? na je akinipangia ambako sitaki mfano umenishawishi nije Nyarubanda High Xkul nae akanipangia tofauti na hapo je si naweza mkatalia? N:B mimi ni Graduate,dadavu mkuu
 
unalipoti kwa afisa elimu,Sehemu nyingine kataa,mtishie unaondoka,au nikupe namba za afisa elimu kabisa
 
Namba ya afisa elimu secondar kigoma vijijin. ni voda 0759430979,0784435119,na afisa elimu taaluma no.0755812552,muwambie nataka Nyarubanda high school,
 
Back
Top Bottom