Waajiriwa wenzangu kuweni makini kulinda salary slip yako isichafuke lasivyo utakiona Cha moto kama mimi

Leo ni siku ya mwaka mpya lakini familia Haina hata msosi , nimepambana nimepata afu tatu Ili angalau wapike wali kilo moja wale ,lakini uzembe nilioufanya umenipa funzo kubwa sana sina Cha kufanya ila subira tu.

Nashauri serikali hizi taasisi zifutwe na zisitishwe kutoa mikopo kwa watumishi otherwise wawekewe limit ya muda wa mkopo na shauri wakopeshe mwisho miezi 12 (mwaka mmoja tu) kama kuzifuta imeshindikana

My saraly slip is bleeding yaani hapa hayo makato yamekatwa miaka mitatu na bado inaendelea kukatwa na ukizingatia jumla ya hela niliyochukua kwa taasisi zote mbili ni milioni 4 na laki nane View attachment 2859119
Mkopo ulifanyia nini?
 
Bia tamu
 
Jamiiforum huyu mtu anahitaji msaada wa haraka just imagine leo tarehe moja hela ya kula inampiga chenga ilihali mshahara ni mpaka mwisho wa mwezi huu hapa katikati anatoboa vipi ukizingatia watoto inanidi warudi shule mixer gharama nyingine za maisha.
 
kasema aliingia katika hii trap kulingana kwamba ni ajira mpya,uhalisia ni kwamba huko halmashauri hawatoi pesa ya kujikimu kama serikali inavyo amuru, so watumishi wengi hawatoki kwenye debt crisis circle
 
Leo ni siku ya mwaka mpya lakini familia Haina hata msosi , nimepambana nimepata afu tatu Ili angalau wapike wali kilo moja wale ,lakini uzembe nilioufanya umenipa funzo kubwa sana sina Cha kufanya ila subira tu.

Nashauri serikali hizi taasisi zifutwe na zisitishwe kutoa mikopo kwa watumishi otherwise wawekewe limit ya muda wa mkopo na shauri wakopeshe mwisho miezi 12 (mwaka mmoja tu) kama kuzifuta imeshindikana

My saraly slip is bleeding yaani hapa hayo makato yamekatwa miaka mitatu na bado inaendelea kukatwa na ukizingatia jumla ya hela niliyochukua kwa taasisi zote mbili ni milioni 4 na laki nane View attachment 2859119
Dah,ila mkuu unaishije,mbona take home inabaki kiduchu mnooo
 
Yaani Kodi unalipa kidogo hivo?afu bado unaenda kukopa kwa kausha dam.hauuonei huruma huo mshahara WAKO kidogo hivo?Kodi unakatwa 14390?
 
Hao unaowaita watumishi wa Umma hasa wafanyakazi wa Halmashauri, ndiyo wanaoongoza kufanya harakati za kuisaidia CCM kushinda kiharamu kwenye chaguzi mbali mbali.

Hao watumishi wa Umma ndiyo Askari watiifu wa CCM dhidi ya CHADEMA.
Tatizo la yote hayo ni uwepo wa katiba inayoruhusu demokrasia ya chama kimoja tu, hivyo hao watumishi ni wahanga tu wa huo mfumo.
 
Back
Top Bottom