Waafrika wapata kichapo India, mnaoenda India kwa matibabu kuweni makini

Mtajiju mnaowashobokea watu WEUPE. Sijui Israel mara Usa mara Iran mara sijui nini.
Nalog off
 
Mbona wapo wanafunzi wengi,Wakufunzi wengi, Watalii wengi, wahamiaji haramu kibao huko India !?!
Kuna baadhi ya West Africans ndiyo wanaleta uhalifu !!
 
No white love black.
Even it goes that, ....Sometimes Blacks don't like their Colour. Is like everyone love to be white than being black.
 
Juzi kati nilimtia adabu gabachori kwa kudhani yeye ni bora sana,wakati ananifokea nikashindilia karatasi mdomoni mwake.
 
Juzi kati nilimtia adabu gabachori kwa kudhani yeye ni bora sana,wakati ananifokea nikashindilia karatasi mdomoni mwake.

Safi sana kiongozi hebu chukua 5 kwanza,aisee hawa jamaa wakiwa na vijisenti vya kuwahonga viongozi wetu wanasumbua sana,kuna siku mdosi mmoja alileta dharau na kumzaba kibao abiria mmoja tukiwa kwenye basi tukielekea jimbo moja hivi,huyo mdosi mbona alistarehe na aliomba ardhi ipasuke ili akimbilie,tulimwambia hii ni Afrika na sio India ukitaka kuonea watu basi nenda kwenu.
Nalog off
 
I can not imagine kama ningekuwa mimi mpaka mwili unakusisimuka mtu.

Wataendelea kufanya hivyo kwa sababu viongozi wa Africa si watu wakutaka kujua kulikoni au kuacha kufanya nao biashara.

Such hatred India yenyewe ina njaa hatari, mpaka watu wanauza viungo vyao.
 
Hahhahaha sure maisha kwao agadhali kwetu mara mia......

Yaani farkhina hawa binaadamu tangu nimefika kwao nomewadharau sana wanamaisha duni sana wao kwa wao wanabaguana, mji mchafu. Yaani maisha magimu mzazi yuko tayari kumtoa bint yake kwa mtu kwa usiku mmoja ili tu wapate hela ya kula.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom