Agustino Regnald
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 501
- 428
gentleman nje ya tendo kwenye tendo kama jibwa koko
maisha ni zaidi ya maombi, mungu amekupa silaha zote unataka msaada wa nini? tumia silaha hizoMaombi Maombi ,ni kitu cha muhimu kukifanya katika maisha
watu wanaishia vijiweni badala ya kujituma ili wajikimu na kujali familia...Maisha haya usipokuwa na mipango thabiti ya kupambana utaishia kulaumu watu
Familia nyingi zinateseka kwa kutegemea watu wasio na sifa za kutegemewawatu wanaishia vijiweni badala ya kujituma ili wajikimu na kujali familia...
Hivi nyie mna akili kweli, Tujadili namna ya kuendeleza masilahi ya taifa na siyo kukashifu !!Silipendi ila ndo naliotaga kila siku,ni lindoto fulani hivi.
BinaAdamu tumeumbwa kwa udongo tunamiliki upendo na chuki.. na hatutabiriki matendo yetu huchanganyika mbivu mbichi !!Kukashifu ni moja ya hulka ya binadamu..
Hakijaiva chakula cha jana usiku ktk karamu ya sherehe za harusi....Mbichi ni kitu ambacho hakijaiva..