W.J Malecela asema CCM itatawala milele akiwa Viwanja vya sabasaba

Status
Not open for further replies.

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,998
6,659
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • IMG_0473.JPG
    IMG_0473.JPG
    579.5 KB · Views: 599
  • IMG_0476.JPG
    IMG_0476.JPG
    556.9 KB · Views: 81
  • IMG_0477.JPG
    IMG_0477.JPG
    588.8 KB · Views: 72
*****, mwenyewe hauuamini ndo maaana hujaongea kitu tofauti na caption.
 
sijaona chochote kwenye post, lakini nina comment kutoka kwenye headline:

kama ni kweli amesema, anaelewa maana ya milele? this is redicilous...!
 
Tunasubiri 2015 patachimbika tu, lazima mabadiliko. Tumechoka na hii system isiyokuwa na ubunifu wa kukabiliana na matatizo ya wananchi.
 
Huyo always anataka attention ya watz kama mke mpya. Media ndo zana yake kuu ya kutafutia umaaarufu. Ana hamu sana apate front page.
UHUNI ndo unampa shida. hata akikua hawezi kuacha. Imagine hadi umri huo alionao bado anatumia lugha za ajabu ajabu za wavuta bangi na wanywa viroba ('le mutuz, Baharia, Biig show!!!). Mtu mzima hovyo!
 
Ccm imekuwa Mungu? Mungu tu ndiye ataishi na kutawala milele, lakini si binadamu au chombo chochote kilichoundwa na binadamu. Kusema ccm itatawala milele ni kutojua maana ya "umilele".
 
Le-baharia alikuwa amevaa pensi la jeans na raba za kisharobaro halafu mnasema ni kiongozi wa jumuya ya wazazi du!
 
Hiyo ni kauli yake na mawazo yake. Ana uhuru wa kutoa mawazo yake ili mradi havunji sheria. Na wewe kama una mawazo yako ita waandishi wa habari una uhuru huo usiogope. Kumbukeni kuwa hatuwezi kuwa na mawazo sawa na si lazima tukubaliane kwenye kila jambo kitu cha maana tuweke mbele utanzania na taifa letu.
 
hili jamaa hewa kweli..hivi huyu kichwani ana kitu kweli huyu...yaani anafanya na kuongea mambo kinyume kabisa...
 
dah ... Willy ! kumbe unakunywa maji ya uhai? mabomba hayana maji au maji yake si safi na salama ?

think twice
 
Mbona hii kama thread ya Jamiifoto?. By the way kujadili heading nafikiri atakuwa amejifunza kwa Mzee wake kuwa cheo ni dhamana na hakina guarantee especially kama cheo hicho kinatokana na kura halali za wananchi, watu Mtera walilidhihirisha hilo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom