Miss Champagne
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,158
- 6,314
Naona wamerudi Kwa Kasi Tena, wanapora, wanajeruhi, ni huzuni.
Jamaa yetu juzi Goba Kwa Madawa wamevamiwa mtaa mzima wamepigwa vibaya. Wameporwa pesa simu na vingine vya thamani. Wamefanyiwa ukatili, hawajali mjamzito Wala mzee wanapiga vibaya. Hili kundi walikua kama 20-30 Kwa idadi halafu mijibaba.
Kesho yake tena yani jana kundi jingine la wadogo wadogo wamevamia mtaa huko eneo linaitwa Kwa Mzungu, wamejeruhi, wamepora.
Wana silaha za jadi, marungu, mapanga, shoka, visu nk.
Wanavamia usiku wa manane, wanavunja milango watu wanaamriwa wavue nguo wanabaki Uchi huku wanapigwa vibaya.
Now haijulikani mtaa gani unafuatia