Vyeti vya kufungulia wakala wa bima

heem

Member
Jan 6, 2015
11
5
habari zenu wakuu, ninatoa msaada wa cheti cha bima kwa wale wanaotaka kufungua biashara ya wakala wa bima. kwa anehitaji anipm.
 
Mimi nshitaji darasa juu ya hiyo biashara, natamani kufanya lakini sijui pa kuanzia
 
hakuna kinachoshindikana, kila kitu hua kina mwanzo mgumu, kama huyafahamu vizuri mambo ya bima, wapo watu ninaoweza kukuconnect nao wakakusaidia, we tafuta mtaji tu.
 
Na mim natamani sana kufanya hiyo biashara ila sijui pa kuanzia ingekua vizuri ungetoa maelezo mazuri ili nijue nianzie wapi.
 
Ni simple tu dugu pangaukela, kua agent wa insurance ni kufanya kazi kwa niaba ya principal wako ambae ni kampuni ya bima, kazi yako ni kuwatafuta wateja na kuwauzia product za kampuni, na wewe unapata malipo kwa commission, kwa kifupi productza bima zimegawanyika sehemu kuu 2, aina ya kwanza ni property insurance ambayo inajumuisha aina zote za bima kama ambazo zinazojulikana sana za bima za magari, bima za moto, bima za biashara na kadhalika ziko nyingi sana ambazo mkataba wake hauzidi mwaka 1. Aina ya pili n zile long term insurance ambazo hizi ni zile kama ima ya maisha, bma a matibabu ambazo makataba wake ni wa muda mrefu, na hata makampuni yote ya bima lazima yaspecify yanataka kufanya aina ipi ya bima au zote kwa pamoja.
tuje kwenye suala letu la msingi, ufanyaje ili ufungue wakala wa bima? ndugu pangalukela una uwezo wa kufungua insurance agent, ila kama hujasomea mambo ya bima angalau hata cheti basi tafuta watu waliosomea.
requiremen za kufungua insurance agent ni hizo hapo

TANZANIA INSURANCE REGURATORY AUTHORITY

1. Completed Application form together with nonrefundable applicationfees of Tzs. 25,000. 00
2. Copies ofMemorandum and Articles of Association/Extract.
3. Copy of theCertificate of incorporation of the Company in Tanzania/Certificate ofregistration.
4. Proof/Evidence ofMinimum Paid up Share Capital of Tzs I,210,000. 00 for agents representing one
insurer, or Tzs.2,420,000.00 for multiple agents/agents representing two insurers.
5. Copy ofProfessional Indemnity policy of Tzs.6,000,000. 00 for agents representing one insurer,
Tzs. 12,000,000.00for multiple agents/agents representing two insurers.
6. Particulars ofPrincipal Officer.
Curriculum Vitae(CV)
Professionalcertificates (Minimum certificate in insurance)
Sworn Declarationof good character.
His/her Employmentcontract.
Two passport sizephotographs of the principal officer.
7. Particulars ofBoard Members of the Company.
Curriculum Vitae(CV).
Copy ofpassport/Birth Certificate/Affidavit.
Sworn Declarationof good character and solvency.
8. Particulars ofSenior Management Staff. (same as item 6 &7)
9. Attesteddeclaration on solvency and non conviction in criminal offences of Membersunder 6, 7
and 8 above.
10. ValidTrading/Business license.
11. Particulars ofshareholding pattern.
12. Particulars ofyour bankers.
13. Copy ofpassports/birth affidavits for the company directors.
14. Payments ofAnnual Fee of Tzs. 50, 000. 00 for agents representing one insurer or Tzs.100,000.00 for
multiple agents /agentsrepresenting more than one principal, Registration fee of Tzs.500, 000.00.
15. Agreement letter with your insurer (PrincipaL)

Nisikuchoshe sana na maelezo mengi, kama hujaelewa chochote hapo unaweza niuliza.
 
bigurube sio nia yangu kuja kushindana hapa kwa kuuza vyeti ambacho nimekihaingaikia miaka 3 pale ifm, nimesema msaaada sio nauza, na ndo mana hapa natoa nachokijua kuhusu bima kwa wale wote wanaotaka kuingia kwenye biashara hii, nina zaidi ya kutoa msaada wa cheti.
 
Mkuu,asante kwa maelezo mazuri.Kamisheni (average) ambayo hutolewa na insurer huwa ni wastani wa tsh ngapi/percent ngapi?
..mfano UAP,sjui jubilee,BUMACCO.Asante
 
Back
Top Bottom