Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,174
11,496
Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania'

Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "ebila", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k.

EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
 
Ndo nini?
images (8).jpeg
 
Kwa kikwetu tunaita amapalage yaani nivile viazi vtamu vilivyokaushwa kiasili na wasukuma ndiyo wanatengeneza hiki chakula, kule kijijini kwetu hasa kipindi cha masika hiki ndiyo chakula ambacho mnashindia. Pia wasukuma hutumia kuwalipa watu wanaoenda kufanya vibarua kwao kama vile wanao palilia mashamba yao, kwakifupi hiki chakula kinatumika sana kipindi cha palizi.
 
Vitumbua = rice pancakes (common in East Africa sio Tanzania tu).

Chapati = flat bread au palatha/palata

Makange = steamed meat

Kachumbari = salad

Ugali = stiff porridge

Mtori = banana soup

Africa nzima wanakula ugali na kila sehemu unajina lake; Zimbabwe wanaita ‘Tsaza’, west africa nchi nyingi wanaita ‘Fu-fu’, na majina mengine kibao.

Hata hivyo vyakula vya kikabila vitakuwa vinamajina mtu akiambiwa ‘recipe’.
 
Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania'
Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "enumbu", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
Asante kwa utuwekea "enumbu" yaonekana una uzoefu na wasafwa wa Mbeya. Maana kwenye numbu hawakamatiki
 
Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania'
Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "enumbu", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
Chapati kihindi, kachumbari kwa kiingereza inaitwa Salad.
 
Back
Top Bottom