Vurugu MBEYA 235 wakamatwa

YEYE

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
437
72
Vurugu zilizofanyika jana na mapema leo zimesababisha watu 235 wakamatwe..Mkurugenzi asema chanzo sio Wamachinga kama habari zinayosambazwa, ila ni kikundi cha watu wametumwa na kushawishiwa kufanya vurugu hz...
Source: Chanel Ten
NB:- Ka habari ndo hz basi nahisi kunachama ki1 kitakuwa kinanyooshewa mkono na policcm
 
Ok mbona intelijensia yao haikugundua mapema?.tumewazoea wataishia kusema Chadema wakati watu wanadai haki zao.
natamani sana siku 1 ccm iwe upinzani ili hata kipindupindu kikitokea tuseme ni wao waone chungu ya upinzani.
 
Watadangaya sana kuhusu chanzo..... bado tu hawajasema CDM mana ndivyo walivyozoea!!

Polisi nao walitoka salama wote!!
 
Hapo ndipo wanapokosea, yaani hawajui ukisimama na kusema kuku ni bata wakati uma wote wanaona kuku ni kuku mwisho huwa ni chuki kwa yule anayeeneza uvumi watu waamini kuku ni bata. Jamani hata asiye na taaluma ya intellijensia anajua chanzo ni kufukuzwa machinga mitaa ya Makunguru na si vinginevyo, mambo ya chama kama yamejitokeza ni hasira za binadamu za kawaida kwamba hawa ndugu wanatunyanyasa ni ccm na ndio maana wale vijana walichoma bendera za ccm na si vinginevyo.
 
CHADEMA Yakanusha kuhusika,kupitia Mkurugenzi wake wa usalama WILFRED RWAKATALE, Yadai chanzo ni Uongozi na utawala mbovu..katoa mfano jinsi KANDORO Alivyofanya mambo kama hayo alipokuwa mkuu wa mkoa wa DAR na tena akafanya hvy alivyokuwa MWANZA na sasa MBEYA na kote kulisababisha vurugu
Source:- Mlimani Tv
 
polisi hawana elimu na hekima, lile jambo lilikuwa dogo sana wao kwa sababu hawafuati sheria na busara ni zero wanaendeshwa na sela za wavuna nchi ndio hayo yakatokeawala si siasa ila kwa polisi ni siasa za ccm,kwanza wameua watu,wameumiza watu,kazi ya polisi ni kama laana kwa maana unakubari hata vitui visivyo na msingi wenyewe ni ndio mzee,kila kitu ndio mzee,wanabana visuruali tu,kila kitu ndio mzee,hawana elimu asilimia 99% yapolisi wamefogi vyeti,intelegensia yao haina maana ni uongo mtupu,Tubuni nyie polisi mtakufa na milaana hiyo.visingizio kibao.
 
Vurugu zilizofanyika jana na mapema leo zimesababisha watu 235 wakamatwe..Mkurugenzi asema chanzo sio Wamachinga kama habari zinayosambazwa, ila ni kikundi cha watu wametumwa na kushawishiwa kufanya vurugu hz...
Source: Chanel Ten
NB:- Ka habari ndo hz basi nahisi kunachama ki1 kitakuwa kinanyooshewa mkono na policcm

Si ndo wanavyotaka kutumia hizo njama ili kuwafanya cdm kuonekana wabaya sasa bado yataanza maandamano yakuwatoa hao waliokamatwa
 
Ok mbona intelijensia yao haikugundua mapema?.tumewazoea wataishia kusema Chadema wakati watu wanadai haki zao.
natamani sana siku 1 ccm iwe upinzani ili hata kipindupindu kikitokea tuseme ni wao waone chungu ya upinzani.

Ingekuwa njema sana
 
Watadangaya sana kuhusu chanzo..... bado tu hawajasema CDM mana ndivyo walivyozoea!!

Polisi nao walitoka salama wote!!

Hii yakuja kuwatoa hao walioko gerezani ndo tunatarajia kuchinja hapo kama polis 200 ili wakisikia maandamano wapunguze kiherehere
 
Hao ndo policcm cjui wanayafurahia hayo maisha ya kuishi kwenye hayo magofu (kota)
 
Ok mbona intelijensia yao haikugundua mapema?.tumewazoea wataishia kusema Chadema wakati watu wanadai haki zao.
natamani sana siku 1 ccm iwe upinzani ili hata kipindupindu kikitokea tuseme ni wao waone chungu ya upinzani.

Hawa magamba wapumbavu sana yaani kila kitu utasikia chadema wanahusika,hata ikitokea kada wao kapogwa kibuti na dem watasema hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom