Elections 2010 Vote for chadema ;for better life

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Zimebaki siku kadhaa,sekunde kadhaa,ni wakati mkubwa kwenye maisha yetu kuamua kufa ama kuendelea kuishi,,ni wakati wa kungalia ndani ya miaka mitano tulichokuwa na raisi kikwete uchafu ngapi zimepita,sasa ni wakati wa kuleta mabadiliko ,wakati wa kuchagua watu watakaotuletea maendeleo ya nchi na si ya chama na familia yake.....

Vote for chadema
 
Back
Top Bottom