VodaCom wanatumika kuinyonga CHADEMA

Sidhani kama pesa kutopungua bado ni kigezo.
Je ukiambiwa kuwa pesa haipungui na Michango inaingia hiyo si itakuwa asara ya Vodacom?
Tusilaumu kwanza ni vizuri tukapeleleza tatizo ni nini maana technology haina gurantee.

Mwizi ana hasara gani akishalipwa fidia ya anachotaka kuiba?
 
Kama ni hivyo ipo haja ya wapenzi wote wa Chadema wajitoe kwenye huu mtanadao wa vodacom kwani mitanadao ipo mingi tu.KUMBE KUWA VODACOM NI KUMNEEMESHA FISADI RA?

Mimi nilishauliza hata huku miezi kadhaa iliyopita kuwa mbona mara kibao natuma msg kwenye hiyo namba inacost sh 59? Sikupata jibu hadi juzi jumamosi niliposikia mahojiano ya Clouds FM na Slaa, akasema kuwa wanachangiwa kwa SMS LAKINI mara nyingi wamekuwa wanahujumiwa.

Hii mbinu ya kususia VODACOM ni nzuri, ingawa ni mojawapo ya silaha kubwa. Kama inakumbukwa kule Kenya, mojawapo ya vitu vilivyokuja kuilainisha PNU ikakubali kumuingiza Odinga serikalini, ni baada ya Odinga kusema atataja makampuni yanayohusika kushirikiana na serikali na kuwaasa wafuasi wake wayagomee. Kwa kujua madhara yake, Kibaki alikubaliana mara moja na madai ya Odinga. Kwa hapa kwetu tunajua kuwa VODACOM ndiyo namba moja kama tukiamua kususia, ila kwa sasa tuwaache kidogo tuene wanaendeleaje...
 
Tunaomba Tamko kutoka wachangiwaji tafadhali maana hii ni TUHUMA NZITO

TCRA wanapaswa kuingilia kati la sivyo tutajua hapa kwamba nao ni tawi la chama tawala.
 
Katika kuelekea October 2010, CCM inatapatapa kumaliza nguvu za chadema kwa umafia wa aina yoyote. kwa sasa CCM wanawatumia VODACOM kuiujumu Chadema.

CHADEMA wanaomba michango kutoka wa wapiga kura wao na watu wenye mapenzi mema na Chadema lakini cha kushangaza VODACOM chini ya RA wanatumika kuujumu

1. Viongozi wengi wa chadema kama ZITTO na VIcent Nyerere na wengine wanaomba wanachama na wapenzi wawachangia kupitia M-PESA lakini VODACOM wanaBLOCK michango isiingie kwenye account zao za M PESA.

2. Number ya kuchangia chadema 15510( kama nimeikosea nitakosolewa) hii namba wameiblock ukituma msg ili uchangia TSHs 350 SALIO HALIPUNGUI. hii na ujuma kubwa

3. TUNAJUA VODACOM ni CCM, sasa hivi wametoa mabango yao yote barabarani wamewapa CCM waweke matangazo yao

MY TAKE

1. Hii ujuma inayofanywa na VODACOM mwisho wenu unakaribia

Badala ya kuilaumu CCM ni vema Chadema wakutane na VODACOM na kujua nini kimesababisha hali hiyo kuliko kulalamika na kumtafuta mchawi. VODA wana ofisi na mkataba na chadema sasa kama hawakusanyi watakuwa na maelezo ya kuwapa chadema kwa kuvunja mkataba.mpaka sasa Chadema hawasemi walipokwenda VODA waliambiwa nini. kwa sasa haya ni majungu hadi pale chadema watakapotuambia wamekutana na voda. Huu ni mchezo wa kutaka kura za huruma. hatudanganyiki
 
Siku zote tunaambiwa Vodacom ni kampuni ya mafisadi na inajulikana kwamba RA anamiliki sehemu kubwa ya kampuni hii. Sasa kama Chadema wananadi sera za kupiga vita ufisadi kisha watu wanategemea kupokea michango kupitia kampuni hii walitegemea nini zaidi ya haya tunayoambiwa?

Baniani mbaya, ... Kiatu Chake Dawa!
 
du hii nchi bwana.....natamani kuhama lkn cwezi yaani unyama unyama tu
 
Tuko kikazi zaidi, jana kulikua na tatizo la server yetu lakini hakuna blockage ya aina yoyote, au weye our rival?
 
Tuko kikazi zaidi, jana kulikua na tatizo la server yetu lakini hakuna blockage ya aina yoyote, au weye our rival?

Mkuu unaongea kama Vodacom representative au? hii hujuma ipo na inajulikana

From today NADESTROY CARD YA VODA- MCHEZO WENU WA KUTRACE WATU SIO MZURI
 
ROSTAM azizi owns more than 70% shares of vodacom tanzania japo sometimes anafanya kwa kificho so kwa fisadi kama huyu akishirikiana na vibaraka kama mwanvita marope unategemea nini?

Acha uzushi na uongo wewe...takwimu sahihi zipo wazi kwenye mtandao,

Vodacom Tanzania - About/Company Profile/company profile
Vodacom Tanzania Limited is Tanzania’s leading cellular network offering state-of-the-art GSM communication services to more than 6 million customers across the country.
Vodacom Tanzania is a subsidiary company of Vodacom Group (Pty) Limited, South Africa. Vodacom Group (Pty) Limited owns a majority share portion of 65%, the remaining 35% is owned by Tanzanian shareholder, one Mirambo ltd.
 
Katika kuelekea October 2010, CCM inatapatapa kumaliza nguvu za chadema kwa umafia wa aina yoyote. kwa sasa CCM wanawatumia VODACOM kuiujumu Chadema.

CHADEMA wanaomba michango kutoka wa wapiga kura wao na watu wenye mapenzi mema na Chadema lakini cha kushangaza VODACOM chini ya RA wanatumika kuujumu

1. Viongozi wengi wa chadema kama ZITTO na VIcent Nyerere na wengine wanaomba wanachama na wapenzi wawachangia kupitia M-PESA lakini VODACOM wanaBLOCK michango isiingie kwenye account zao za M PESA.

2. Number ya kuchangia chadema 15510( kama nimeikosea nitakosolewa) hii namba wameiblock ukituma msg ili uchangia TSHs 350 SALIO HALIPUNGUI. hii na ujuma kubwa

3. TUNAJUA VODACOM ni CCM, sasa hivi wametoa mabango yao yote barabarani wamewapa CCM waweke matangazo yao

MY TAKE

1. Hii ujuma inayofanywa na VODACOM mwisho wenu unakaribia

KAma unadhani VODACOM haiwasaidii..si muende kwenye network nyingine.....ipo Z-PESA ya ZANTEL, ZAP ya ZAIN.......
Be practical kuliko kukaa kulalama humu kwenye mtandao haisaidiii
 
2. Number ya kuchangia chadema 15510( kama nimeikosea nitakosolewa) hii namba wameiblock ukituma msg ili uchangia TSHs 350 SALIO HALIPUNGUI. hii na ujuma kubwa

Naona nikucorrect mkuu.
Namba ya kuchangia ni 15710.

Mkuu hii kitu kama ni kweli, wahusika inabidi waende kwa voda, kwa sababu hata kama wanahisa ni mafisadi, voda hawawezi kuruhusu public perception yao iharibike, kwa kuhofia kuondoa trust yao kwa wateja wao. isitoshe kwenye hiyo hela na wao wanapata chao.
 
... Hujuma sio hayo tu ..Vodacom wanamchezo wa kufuatilia hata simu na sms za wateja na kuziuza kwa wengine... CHADEMA, hata maongezi yenu ya msingi kuweni macho na hao ... sijui niwaite mafisadi?? No .... Maybe they will soon going to change na kuchangia kukuwa kwa democrasia ya Taifa huru la TZ!!
 
Kama VODA zengwe si wahamie TIGO AU ZAIN.
Mteja mfalme mimi nilishachanga kama mara 3 ivi ila huwa siangalii salio
 
Hii propaganda tu, we donot trace calls or sms za mtu awaye yoyote, we are group of proffesionals with ethics, good reputation and not politicians or croocks, kama umetupa sim card yako its your choice but stop spreading lies and your unproven accusation. We are Tanzania's Leading Cellular Network Period:becky:
 
Hata mimi nimejaribu hazipungui, nafanya utafiti nikigundua ni hujuma natupa simcard yao !
 
Hii propaganda tu, we donot trace calls or sms za mtu awaye yoyote, we are group of proffesionals with ethics, good reputation and not politicians or croocks, kama umetupa sim card yako its your choice but stop spreading lies and your unproven accusation. We are Tanzania's Leading Cellular Network Period:becky:

Mkuu kumba unajua kwamba mnatumia SIM CARD KUTRACE WATU?

Kusema kweli am not happy with this again from Today i will not use VODACOM CARD

Sio kwamba naconvience watu wasitumie VODACOM hii ni hiari ya mtu lakini mimi VODACOM mwisho leo
 
Huyu mleta hoja amekurupuka tu.

Angetueleza kwa takwimu ni kiasi gani ambacho Chadema ilitegemea kupata kutoka kwa wachangiaji, kiasi ambacho Vodacom wamekataa kuruhusu kukusanya hela hizo?? atuambie makubaliano ambayo yapo kati ya Vodacom na Chadema kuhusu uchangiaji. Atuambie nani anamiliki hiyo Short Code ambayo mtoa mada haijui? atuambie makubaliano yakoje kati ya mmiliki wa shortcode na vodacom.

Mtoa hoja atuambie mgawanyo wa mapato kati ya Vodacom na Chadema. sio akurupuke tu na kuanza kuichafua Vodacom. Lakini hata kama Vodacom wakigoma, kwani kazi /biashara ya Vodacom ni kuchangia vyama vya siasa!? Je Vodacom hawana haki ya kukataa kuchangisha? Atuambie Chadema wana baraka zote za kuchangisha hiyo michango kutoka kwa Msajili wa Vyama ambaye ndio mlezi wa vyama vyote vya siasa nchini!

Anatuambia Rostam sijui ana asilimia 70 ya shares za vodacom, hatuambii hizo asilimia 30 anazo nani! toa shareholding structure yote ya Vodacom tuione tujue kama unachosema ni cha kweli!

Tuonyeshe takwimu za wateja ambao wametuma sms zao za kuchangia na hawakukatwa hela zao! tuonyeshe walikuwa na balance kiasi gani kwenye simu na walipotuma balance ikabaki ile ile! Usituletee namba moja ika represent mamilioni ya wateja wa Vodacom. Hapa tuko watu wazima tusiotaka majungu!
 
2. Number ya kuchangia chadema 15510( kama nimeikosea nitakosolewa) hii namba wameiblock ukituma msg ili uchangia TSHs 350 SALIO HALIPUNGUI. hii na ujuma kubwa

Naona nikucorrect mkuu.
Namba ya kuchangia ni 15710.

Mkuu hii kitu kama ni kweli, wahusika inabidi waende kwa voda, kwa sababu hata kama wanahisa ni mafisadi, voda hawawezi kuruhusu public perception yao iharibike, kwa kuhofia kuondoa trust yao kwa wateja wao. isitoshe kwenye hiyo hela na wao wanapata chao.

Onyo: Hizi namba za kugawana mtandaoni waweza kujikuta unawachangia thithiemu!
 
Back
Top Bottom